The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Hilo nalo neno ukitaka kuvunja sheria bila kuulizwa weka bendera ya CCM
Au jamaa angewaambia kuwa yeye ni katibu wa ccm mkoa wa dar.
Hilo nalo neno ukitaka kuvunja sheria bila kuulizwa weka bendera ya CCM
Ilikuwa juzi kwenye heka heka za kusheherekea pasaka mimi na demu wangu.
Maeneo ya barabara ya chuo kikuu (UDSM) inayoelekea changanyikeni nikawa nimepaki gari pembeni kidogo na barabara siku ipaki pembeni kabisa kiukweli kwa namna fulani nikamuacha demu wangu mi nikaingia sehem (hillpark) kununua vocha pamoja kumtumia mtu hela, nilipo maliza nikawa natoka nje nikakuta lile gari kubwa kabisa la jeshi limesimama nyuma ya gari yangu halafu kuna wanajeshi wawili wapo kwenye gari yangu wanaongea na wife wakimuuliza mwenye gari yupo wapi namimi nikawa natokea akasema huyo hapo... mamamamaaaaaaaa............... kabla hawajaniuliza kitu walinipokea kwa makofi na vibao, walinipiga sana kwa kweli, sikuweza kupigana nao hata kidogo kwasababu kuna wengine walikuwa wametulia tu kwenye gari lao. Mke wangu alishuka kuamulia waniache hawakumpiga lakn walimsukuma akadondokea mkono wa kushoka umeteguka.
Namshukuru sana Mungu, akashuka mwanajeshi mwingine sijui ni boss wao akawaambia waniache ndipo wakaondoka.
Mke wangu amewekewa muhogo mkononi huku mimi naugulia tu maumivu, nimeaibika sana mbele ya mke wangu japo naona aibu lakni najifanya uso mkavu kama ndimu.
Bado swali litabaki kuwa hiyo ni sahihi kwa kuvunja sheria za barabarani? Makofi kwa mtu mzima yanadhalilisha jamani... Hata hao watoto tumeacha 'kuwazibua' makofi kwa hofu ya kuwatia uziwi...
Hahahaaa l do hate them soooooooooooo much... ila samahanini wanajeshi wa humu kwa kutokua mnafiki.

hapo nimeshindwa kidogo kukuelewa, ulikuwa na DEMU wako ama ulikuwa na MKE WAKO. kwa mtazamo wangu demu wako na mke wako na vitu viwili tofauti.
Sometimes uwa najiuliza watu wengine wanafanya makosa au kwa kukusudia au ngoja nifanye kwani watanifanyaje? Mimi kama mimi sioni mtu kama huyo utamsaidiaje ili ajue kuvunja sheria kwa makusudi ni kosa kubwa sana, na kwa ufahamu wangu na niko sahihi asilimia 100 hatakaa tena arudie ilo kosa la kupark barabarani. Kila mara atakapokumbuka kipigo hicho atatafuta wapi panaruhusiwa kupark. Kwa hiyo sometimes nchi hii inahitaji watu kama wanajeshi wawatie adabu watu wote wanaofanya vitu vya hovyo hovyo bila kujua wanaleta madhara kwa wengine
Huyu jamaa apigwe tu! Inawezekana huyo demu anachukuliwa na mmoja wa wajeda hao ndo maana wamempiga!! Mke na Demu haviwezi kuwa sawa hata siku moja!