Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

......where is th rule of law?.... Ila kaka hizi case majaji wanazitaman sana ziwafikie na wanakereka na tabia ya hawa jama kua miungu juu ya sheria.ushaur JW upo kwa mujibu wa sheria kuitii sheria za nchi ni moja ya wajibu wako wa lazma.ubabe kinyume na sheria c kipimo cha uzalendo wala ushujaa....keep ur image positive to th mass for u to b respcted for th mass....na raia tuwe makini, sheria inamruhusu mtu yoyote kuondoa trepassers ktk eneo lake japo c kwa kumpiga kama naye hapingi kwa nguvu ileile. Ushaur kwa raia,ukishajua hawa watu hawana simile kwanin uwachokoe? Kupark gari usiku maeneo yaliyo katazwa nikujitangaza kuwa ww ni adui.sote tuwajibike
 
Ilikuwa juzi kwenye heka heka za kusheherekea pasaka mimi na demu wangu.

Maeneo ya barabara ya chuo kikuu (UDSM) inayoelekea changanyikeni nikawa nimepaki gari pembeni kidogo na barabara siku ipaki pembeni kabisa kiukweli kwa namna fulani nikamuacha demu wangu mi nikaingia sehem (hillpark) kununua vocha pamoja kumtumia mtu hela, nilipo maliza nikawa natoka nje nikakuta lile gari kubwa kabisa la jeshi limesimama nyuma ya gari yangu halafu kuna wanajeshi wawili wapo kwenye gari yangu wanaongea na wife wakimuuliza mwenye gari yupo wapi namimi nikawa natokea akasema huyo hapo... mamamamaaaaaaaa............... kabla hawajaniuliza kitu walinipokea kwa makofi na vibao, walinipiga sana kwa kweli, sikuweza kupigana nao hata kidogo kwasababu kuna wengine walikuwa wametulia tu kwenye gari lao. Mke wangu alishuka kuamulia waniache hawakumpiga lakn walimsukuma akadondokea mkono wa kushoka umeteguka.

Namshukuru sana Mungu, akashuka mwanajeshi mwingine sijui ni boss wao akawaambia waniache ndipo wakaondoka.

Mke wangu amewekewa muhogo mkononi huku mimi naugulia tu maumivu, nimeaibika sana mbele ya mke wangu japo naona aibu lakni najifanya uso mkavu kama ndimu.



kwanza pole sana kwa yaliyokukuta, pili usipende kumuita mke wako demu kwani ni kumkosea heshima. Naamini ungekuwa mkurya usingekubali muraa razima ungeyapiga hata rimocha wapo urijeruhi hata na mawe.
Mi napenda nijue hivi mtu akivaa yale manguo ndo anakuw juu ya sheria au? Mbona wanaonea raia tuu? Angekuwa ni mtoto wa kanari au brigadia wangemfanyia hivyo naamini wote wangelala selo lakini kwa kuwa ni raia basi ndo apigwe tuu? Hii mijitu bwana pengine hata huyu waliempiga angekuwa soja angekuwa na cheo kuliko hata hivyo vikuruta. nina hasira mimi we ngoja siku wakutane na watu wenye akili za usiku...........
 
Na umeaibiashwa kweli poleeee!!!!
lkn wajeshi hata siwaelewi,,,, nakumbuka ilikua march naingia dar mida ya saa8 maeneo ya kibaha usiku kukawa na amri gari yapaki upande mmoja hatukuelewa kinachoendelea tukapita wakaja kwa gafla wajeshi kma 5 walivyoona ni wanawake tulimwagiwa maji binafsi nilisikia vby sana.
 
mi nilirushwa vichura mbele ya mamamkwe!duh ilikuwa noma siku ile!
 
Tena wangekupiga zaidi maana unaonekana huna adabu kwa mkeo, huwezi kumuita jina hilo (kwenye red) mtu ambaye ni mkeo au unategemea awe mkeo.

si unajua hadithi. na chaajabu mke katenguka mkono halafu kawekewa hogo
 
Back
Top Bottom