Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

Nyie munasema wanawake hawapendani maana wanadhalilishana mbele ya watu. Na kumfedhehesha mwanamke mwenzie mbele ya mumewe nk.

Mukijifikiria nyie mwanaume munatatua matatizoi kibusara, na wastarabu, kumbe sivyo.
Hata wanaume wanapenda kumfedhehesha mwanaume mwenzao mbele ya mkewe.

Sie wanawake tunajua wanaume ni wakatili hata kua wanaweza kuana mbele ya mke. Sababu wanaume wanapenda sana ushujaa , hawapendi kuwa chini.

Hapo mkeo anafikiria ukatili wanaume, hafikiri eti wewe ni ---- au la. Tena anashukuru upo hai.
Na hawakukutia gerezani.
Siku ingine hata mkeo atakuja kudharauliwa na kuaibishwa mbele yako atajiskia vibaya kama wewe. Kwani wewe mungu mpaka utake kua perfect? Siku ingine utaumwa na kujinyea mkeo atazoa. Dunia haipo mikononi mwako, hutoweza kukontrol kipi kisikutoke mbele ya mkeo. Na wala mkeo hatoweza kukontrol kipi kisimtoke mbele yako. Ni kukabiliana tu na kila tukio
 
Hii ndio adhabu iliyothibitishwa na sheria? Humjui mtu ana matatizo gani, uanze kumpiga tu, hata wanyama hawapaswi kutendwa hivyo, sembuse binadamu!!!!
Wanajeshi wawe wanatumia akili badala ya nguvu...

hahahaaaa! Najua tu!..... Hao watu kwako ww ni sawa na simba na nguruwe pori
 
Ilikuwa juzi kwenye heka heka za kusheherekea pasaka mimi na demu wangu.

Maeneo ya barabara ya chuo kikuu (UDSM) inayoelekea changanyikeni nikawa nimepaki gari pembeni kidogo na barabara siku ipaki pembeni kabisa kiukweli kwa namna fulani nikamuacha demu wangu mi nikaingia sehem (hillpark) kununua vocha pamoja kumtumia mtu hela, nilipo maliza nikawa natoka nje nikakuta lile gari kubwa kabisa la jeshi limesimama nyuma ya gari yangu halafu kuna wanajeshi wawili wapo kwenye gari yangu wanaongea na wife wakimuuliza mwenye gari yupo wapi namimi nikawa natokea akasema huyo hapo... mamamamaaaaaaaa............... kabla hawajaniuliza kitu walinipokea kwa makofi na vibao, walinipiga sana kwa kweli, sikuweza kupigana nao hata kidogo kwasababu kuna wengine walikuwa wametulia tu kwenye gari lao. Mke wangu alishuka kuamulia waniache hawakumpiga lakn walimsukuma akadondokea mkono wa kushoka umeteguka.

Namshukuru sana Mungu, akashuka mwanajeshi mwingine sijui ni boss wao akawaambia waniache ndipo wakaondoka.

Mke wangu amewekewa muhogo mkononi huku mimi naugulia tu maumivu, nimeaibika sana mbele ya mke wangu japo naona aibu lakni najifanya uso mkavu kama ndimu.

Lazima ulitumia lugha ya ukakasi tu! Haiwezekani.
 
JWTZ.jpg Pole sana mkubwa.....mpe pole wife (wako) pia! Hawa jamaa wana hasira sana, maana wanaona ......
 
Hawa jamaa si wastaarabu hata kidogo hasa wale wenye vyeo vya chini ambao hawana elimu.Maana kulingana na sheria ya nchi wewe ulitakiwa kupelekwa kwa polisi wa usalama barabarani ukakutane na sheria ya nchi.Tafuta wataalamu wa sheria uwashtaki.Katika mazingira kama hayo mtu kama na yeye ana bastora yake anaweza kuwalaza chini watu kadhaa.
 
hakuna aliye jui ya sheria hata siku moja kafungue kesi alaa
 
Mimi kiukweli kama mke wangu asingekuwa ndani ya gari nisingeenda kama gari wachukue tu nani apigwe?
Tena nalikana ile mbaya.
Ila kama mke wangu yupo ndani narudi tu wanifanye chochote kile watakacho
 
hapo nimeshindwa kidogo kukuelewa, ulikuwa na DEMU wako ama ulikuwa na MKE WAKO. kwa mtazamo wangu demu wako na mke wako na vitu viwili tofauti.
 
Zamani mtu akinitoa damu lazima nayeye japo nimuonje tuu...nyie siku hizi mtu anakupiga tena mbele ya mkeo halafu unamwachia hivihivi.!!

we MNYEPE,acha tu hawa wajamaa usiombe ukutane nao kwenye anga zao kiujumla wanakuaga juu ya sheria mshikaji angejifanya kuwa mbabe eti kisa anademu kufumba na kufunbua angejikuta hanameno, gari kunyanganywa napiakupelekwa kwenye mahabusu ya kijeshi bila kulitaarifu jeshi la polisi na kumtaka mkuu wa mkoa au mkuu wa majeshi namshukuru mshikaji kuwa mpole kupewa kachai na kuishia papokwapapo.
 
Ndo,maana hawa watu hatakamawakistaafu hawanaga maendeleo wengi wao maana laana za watu huanza kuwarudia.
 
Back
Top Bottom