Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 771
anachosema Mantombazane kina logic ni mara nyingi TPDF imehusika na ukiukwaji wa sheria na hasa haki za binadam kwa kupigapiga raia bila sababu na kuwashambulia polisi(polisi wa usalama barabarani) rejea tukio la ubungo si mara moja,kwani sisi raia hatuna haraka??walishamtwanga traffic pale,ila kuvamia mitaani na kupiga raia si mara moja mdau lutamyo ni mara nyingi sana,wiki 2 zilizopita hapahapa jamvini iliripotiwa kuwa JWTZ wanajesh wake wamewapiga vijana keko ambao walikuwa wakihisiwa kuiba simu ya sh 25,000/= ajabu sasa huyo aloibiwa wala si mwanajeshi,hawakuishia hapo wanajesh wale waliwanywesha maji machafu wale vijana,uhasama kati ya raia na wanajesh upo sana kama ulivyo kati ya askari wa wanyama pori na wakaz wanaokaa pembezon wa hifadh za taifa.
Wanajesh si malaika usiwasifie kiasi hiko wapo micharuko,wapo wengi sana Mwamunyange alivalie njuga hili,
ila mwisho nasapot POLISI KULAMBISHWA KICHAPO maana nadhan wanajesh wanatimiza kauli ya 'WAPIGWE TU' sikumbuk aloitamka hii kaul
hakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis
Last edited by a moderator: