Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Wanajeshi, polisi watwangana risasi

mm siwapendi polisi kutokana na dhuluma wanazofanyia raia daily. wapigwe tu. watz inabidi tuhoji majukumu ya polisi hapa nchini. majambaz wanaua raia daily lakn polisi wanahangaika na daladala na bodaboda mtaani tu kulazimisha rushwa

We unaonekana ni mtu wa makamo ya kutosha tu, lakini akili zako sawa na za nyumbu. Kwani unapozungumzia majukumu ya polisi, swala la kusimamia daladala na bodaboda wanaovunja watu miguu kila siku sio jukumu lao? Ukiwa shabiki wa mbowe akili zinaporomoka kabisa.
 
VURUGU MARA: Wanajeshi 6 JWTZ jioni hii wavamia kituo cha polisi cha Tarime na kuwapiga polisi baada ya mwenzao kukamatwa, RPC Lazaro Mambosasa athibitisha.
Wanajeshi wetu hawana nidhamu kabisa. Wamekuwa kama miungu kwani kila mara wakipiga raia au polisi hawachukuliwi hatua. Wao wanajiona wako juu ya sheria
 
Dah police hawapendwi kweli,hata kama ukweli ni kwamba wanajeshi ndo wamepigwa watu wataripot tofauti ili ionekane police ndo wamepigwa.Mfano kule Arusha wanajeshi waliminywa sana but waandishi wa habari wakaripot tofaut,the same to this one

Sio kweli hawapendwi bali POLISI WANATUMIA MASABULI KUFIKIRI WAO WANAKAZANA KODI BINAFSI TU......... Mapambano ya Masasi pamoja na gesi kuchangia bado sababu kubwa ni maovu ya polisi...... yaani Pinda alisema Wapigwe tu wapigwe........................................
 
nimefurahi sana hao mbwa kupokea kipigo maana wanatunyanyasa sana hasa tunapokuwa na pikipiki zetu hapa tarime.kwanza wao si trafiki lakini wanaingilia tu.mimi binafsi walishanikamata kama mara3 hivi bila hatia yoyote.wanakilimbikizia makosa hata ambayo huna.na ili wakuachie lazima utoe pesa si chini ya 50000.nawapa big up wajeda kwa kuwatembezea kipigo mbwa hawa.na ninawaomba muendelee na kipigo hiki hata mnapowakuta wakiwanyanyasa raia wema si lazima wanapoingia kwenye anga zenu tu.viva wajeda

mwenzio nilikula ban kwa kuwaita hao walipigwa mbwa,sijui mwenzangu utapona au kwakua ule uzi ulikua wa udini na mods ni wakatoliki,any way am declare interests siwapend polisi,siwapend sana sana sana sanaaaa,siwez kuelezea,nawachukia mno tangu nikiwa darasa la 2 mwaka 1990
 
Wanajeshi wetu hawana nidhamu kabisa. Wamekuwa kama miungu kwani kila mara wakipiga raia au polisi hawachukuliwi hatua. Wao wanajiona wako juu ya sheria

Sio kweli kabisa ....... Polisi wanawaza kwa kutumia masaburi.... Jeshi la wananchi ni kweli la wanachi wana upendo sana kwa raia tena wamejaa weredi. Tatizo kubwa la polisi njaa zinawasumbua na wengi ni watoto wa mashemeji na ndani mwao hakuna hali ya kuwatumikia watanzania bali matumbo yao....... Wacha wapigwe......
 
anachosema Mantombazane kina logic ni mara nyingi TPDF imehusika na ukiukwaji wa sheria na hasa haki za binadam kwa kupigapiga raia bila sababu na kuwashambulia polisi(polisi wa usalama barabarani) rejea tukio la ubungo si mara moja,kwani sisi raia hatuna haraka??walishamtwanga traffic pale,ila kuvamia mitaani na kupiga raia si mara moja mdau lutamyo ni mara nyingi sana,wiki 2 zilizopita hapahapa jamvini iliripotiwa kuwa JWTZ wanajesh wake wamewapiga vijana keko ambao walikuwa wakihisiwa kuiba simu ya sh 25,000/= ajabu sasa huyo aloibiwa wala si mwanajeshi,hawakuishia hapo wanajesh wale waliwanywesha maji machafu wale vijana,uhasama kati ya raia na wanajesh upo sana kama ulivyo kati ya askari wa wanyama pori na wakaz wanaokaa pembezon wa hifadh za taifa.
Wanajesh si malaika usiwasifie kiasi hiko wapo micharuko,wapo wengi sana Mwamunyange alivalie njuga hili,
ila mwisho nasapot POLISI KULAMBISHWA KICHAPO maana nadhan wanajesh wanatimiza kauli ya 'WAPIGWE TU' sikumbuk aloitamka hii kaul
 
Last edited by a moderator:
Idara pekee iliyobaki nchini kwetu ambayo haijaoza na rushwa ni Jeshi peke yake. (hasa huku chini) Naomba raisi ajae atumie jeshi walau kidogo tu kurushisha nidhamu, uwajibikaji na uchapa kazi Tanzania!
Kuhusu kuwapiga polisi...
 
We unaonekana ni mtu wa makamo ya kutosha tu, lakini akili zako sawa na za nyumbu. Kwani unapozungumzia majukumu ya polisi, swala la kusimamia daladala na bodaboda wanaovunja watu miguu kila siku sio jukumu lao? Ukiwa shabiki wa mbowe akili zinaporomoka kabisa.

Nakutamani sanaaaaaa
 
so unakiri kuwa kule juu wanajihusisha na rushwa
 
We unaonekana ni mtu wa makamo ya kutosha tu, lakini akili zako sawa na za nyumbu. Kwani unapozungumzia majukumu ya polisi, swala la kusimamia daladala na bodaboda wanaovunja watu miguu kila siku sio jukumu lao? Ukiwa shabiki wa mbowe akili zinaporomoka kabisa.

we koplo tulia mpewe kichapo
 
Wapigwe kbs hawa ni majibwa ya chama cha majini a.k.a....
Yanapelekeshw km maskeleton
 
Hivi neno JESHI au MWANAJESHI lina maana ya askari wa JWTZ? Kwani Police sio JESHI?
Unaposema JESHI watoa kipigo kwa Polisi kwani POLISI sio JESHI? Ufafanuzi plz
 
Hivi neno JESHI au MWANAJESHI lina maana ya askari wa JWTZ? Kwani Police sio JESHI?
Unaposema JESHI watoa kipigo kwa Polisi kwani POLISI sio JESHI? Ufafanuzi plz

jwtz-jeshi la wananchi tanzania. wewe lete kirefu cha polisi
 
Polisi wawaonee chadema tuu! Pal Mipango Dodoma niliwahi shuhudia polisi wa pikipiki wakipigwa vitasa na bunduki yao. Piga vitasa vya kufa mtu.Noma sana tulikaa mbali mno. Wajeda hawafai aisee
 
Amani itawale ili katba MPYA tuidai na sio katba ya ccm inayopendekwezwa.MPYA bado
 
hii habari ipo kishabiki sana na watu wanajibu kishabiki sana kuliko uhalisia wenyewe kama ni kweli polisi wamepigwa imekuwaje wajeda hao wakawa cello ya police? si wangewapiga nakuondoka? we know much and we don't want to speak
 
Back
Top Bottom