Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Uliangalia habari ya jana ucku ITV?kuna FFU mmoja ana mwili hv alipewa mkono akapepesuka kurudi nyuma akakimbilia kwny gari!Jeshi litabaki kuwa jeshi tu nchi yoyote ile!sema JWTZ cku hz imeingiliwa na siasa na diplomasia imekua nyingi mno!Enzi za kina Gen Musuguri na makamanda wengine wa cku za nyuma icho kituo cha police wangehama!!

umenkumbusha mbali xaaaana
 
Wanajeshi ni hatari wale watu,wanapigaga hadi miti wakiamua kutoa kichapo.
 
Uliangalia habari ya jana ucku ITV?kuna FFU mmoja ana mwili hv alipewa mkono akapepesuka kurudi nyuma akakimbilia kwny gari!Jeshi litabaki kuwa jeshi tu nchi yoyote ile!sema JWTZ cku hz imeingiliwa na siasa na diplomasia imekua nyingi mno!Enzi za kina Gen Musuguri na makamanda wengine wa cku za nyuma icho kituo cha police wangehama!!

unajua sifa za kuwa FFU? au unaburudisha jukwaa tu
 
Duh!Hivi Hii Nchi Inakwenda Wapi Kumbe Hata Vyombo Vya Usalama Wenyewe Kwa Wenyewe Hawaivi!
 
Dah police hawapendwi kweli,hata kama ukweli ni kwamba wanajeshi ndo wamepigwa watu wataripot tofauti ili ionekane police ndo wamepigwa.Mfano kule Arusha wanajeshi waliminywa sana but waandishi wa habari wakaripot tofaut,the same to this one

Wengi wanadhani tpdf ni watenda kazi wazuri kumbe hamna lolote zaid ya kupenda sifa za kijinga
 
Ffu hufanya kazi by team tofauti na hao polisi wengine na uniform zao ni ballet nyekundu jungle green ukiona amevaa jungle green hana ballet nyekundu sio ffu ni polisi wa kawaida
 
nimefurahi sana hao mbwa kupokea kipigo maana wanatunyanyasa sana hasa tunapokuwa na pikipiki zetu hapa tarime.kwanza wao si trafiki lakini wanaingilia tu.mimi binafsi walishanikamata kama mara3 hivi bila hatia yoyote.wanakilimbikizia makosa hata ambayo huna.na ili wakuachie lazima utoe pesa si chini ya 50000.nawapa big up wajeda kwa kuwatembezea kipigo mbwa hawa.na ninawaomba muendelee na kipigo hiki hata mnapowakuta wakiwanyanyasa raia wema si lazima wanapoingia kwenye anga zenu tu.viva wajeda

Ndg yangu wanakudanganya hao wanjeshi wamepigwa hadi wengine wamewekwa lock up na uwezekano wa kufukuzwa kazi ni mkubwa.Nguvu kidogo akili zaidi
 
Mwaka 2008 pale Njiro Arusha polisi waliposhindwa kuwatoa majambazi waliojichimbia kwny nyumba moja ndipo wakaitwa wajeda wakawatifua mpk wakajisalimisha wenyewe!hii nilishuhudia mwenyewe!

Acha kudanganya watu polisi peke yao ndo walifanya ile ka hakuna tpdf hat mmoja aliyekuwepo tatizo lenu baya ni polisi zuri mwanajeshi
 
Acha kudanganya watu polisi peke yao ndo walifanya ile ka hakuna tpdf hat mmoja aliyekuwepo tatizo lenu baya ni polisi zuri mwanajeshi

Kijana umeamua tu kubisha,nikikuuliza hilo tukio lilitokea mwaka gani hujui,nikikuuliza tukio lilitokea kwny nyumba gani hujui,ebu tulizana usibishe kitu usichokijua,nenda hata polisi makao makuu arusha kawaulize nani aliacomplish ile mission polisi au jwtz!
 
hakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis

Yeyote anaye tenda uhalifu hawezi kumwogopa mwanajeshi jiulize kwanini iwe hivyo maana wote lao moja wewe utatetea mwanajeshi kwa kuwa hata mawazo yenu mnafanana
 
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!


Umesema sawa mkuu tena hii inalazimishwa kupandikizwa vichwani mwa raia.hata huku mitaani ni vile vile iko kama minyama flani hivi.!! J
 
Raia wa tanzania bhana wanawachukia polisi na kuwasifia. wanajeshi bila kujua kwamba wanapopatwa na matatizo mbalimbali ya kijamii hukimbilia jeshi la polisi ili kupata msaada...hata kama wanakula rushwa,walikuonea lkn ukweli unabaki kuwa wale ndo usalama wako wa ndani kwanza kabla ya tpdf...polisi hawafundishi kula rushwa ila ni mazingira ya kazi na tamaa za watu binafsi
 
Back
Top Bottom