Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Wanajuana hawa wafunga buti kila leo wanagombana wenyewe tu ..sisikii magereza amegombana na mmoja kati yao. Askari wa magereza wana adabu saana ukilinganisha na JWTZ na Polisi.

Kigoma pale kambi ya magereza na polisi wapo jirani kabsaa ila hata siku moja hawajawahi kupigana ila polisi na jwtz wako mbalimbali ila ndo wa kwanza kupigana makonde. Hawana adabu hawa!!

Watch your step...mdomo huponza kichwa
 
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!

Nakushauri ujifunze namna ya kuandika comment zako ktk halaiki kama hii...ucdhan uko safe kiasi hiko
 
acheni ushabiki wa kitoto
HIVI WAVUNJE SHERIA WASIGUSWE???????
hata kama polisi ni wabaya lakini wana haki ya kusimamia usalama wa raia wote bila kujali chochote

hii ilitokea Arusha ila walishikishwa adabu na FFU kuwa mjeda haimaanishi uishi utakavyo
nawashangaa sana mnaoshabikia
kwa lugha nyingine huyo mjeda AKIBAKA MWANAO ASIGUSWE???maana hili nalo kosa

Massai mm nakushauri ni bora ukae kimya...hii mitandao itakupeni shida...hili jina fake lickufanye udhani uko safe xana...records are taken,itc all urs
 
Bila shaka waliorusha risasi watakuwa ni Polisi, wanajifanya waijua silaa, pili kwenye vurugu km hizo daima wananchi wanakuwa upande wa JW.
 
Tatizo hawo polisi wanojiita special force wanajiona sana apo Tarime.
 
Hivi neno JESHI au MWANAJESHI lina maana ya askari wa JWTZ? Kwani Police sio JESHI?
Unaposema JESHI watoa kipigo kwa Polisi kwani POLISI sio JESHI? Ufafanuzi plz

Ni familia na co jeshi
 
hii habari ipo kishabiki sana na watu wanajibu kishabiki sana kuliko uhalisia wenyewe kama ni kweli polisi wamepigwa imekuwaje wajeda hao wakawa cello ya police? si wangewapiga nakuondoka? we know much and we don't want to speak

Kabla pilice hawajatumia silaha ilikuwa 3-0,silaha ndo zikawafanya Jwtz wacool down
 
Safi sana JWTZ. Dunda sana hayo mapolisi. Yamepoteza heshima kwa raia. Mengi yao hayana akili na wamefoji vyeti vya form 4 wapate ajira. Kitakachofuata ni raia kushirikiana na JWTZ kuwapa kichapo polisi hadharani.

angalia watu kama hawa na usikute hapo alipo anakichwa kikubwaa lakn bongo lote ni kamasi tupu...

Hakuna aliyejuu ya sheria.
Leo hii ww ukiibiwa,mwanao kabakwa au ndg yako kapigwa panga hutaenda jwtz bali utaongoza hilo bongo lako lilijaa makamasi kwenda polis
 
naona laana ya uonevu inaendelea kuwatafuna vizuri RAIA WAKAKAMAVU, waendelee na ka mchezo kao ka onea onea ila wakae wakijua ipo siku wataingia cha kike kama walivyofanya huko rorya.

WAPIGWE TU!! MAANA WAMEZIDI KUTUONE. UPOLISI AU KAZI YOYOTE YA JESHI NI KAZI KAMA ILIVYO KAZI NYINGINE KWA NINI POLISI WAMEJISAHAU SANA? wanasahau wajibu wao na kwa sbb wanaamini kazi ile ndio kila kitu nchini.

kutumiwa na wanasiasa wao ndio wanaongoza, kutumiwa na wenye pesa kunyima haki za wanyonge polisi wanaongoza, kwa rushwa polisi ni namba moja, kubambikia raia kesi kwa sbb zao binafsi wao wanaongoza, n.k.

binafsi naamini kazi ni kazi na hakuna kazi iliyo juu ya mwingine kisheria ama kihaki. watu wasijisahau kwa kua wana hizi nafasi.

Sikilizeni wimbo uitwa "imekaa vibaya" unahusu polisi mwonevu ambaye aliishia pabaya baada ya siku moja kujikuta yupo cello na waharifu aliowatenda mabaya na wengine kwa kuwabambikia kesi.
 
Tatizo ni dharau na kujiona upo juu kuliko mwenzako na mwisho wa siku ni wote kuwa chini na kudhalika.
Aibu ni vazi la kila mwenye dharau alietupa heshima.
HAKUNA ALIE JUU YA SHERIA HATA KAMA ANAFANI GANI NA MAMLAKA GANI KATIKA NCHI HII.
 
Busara ilikosekana pande zote walichofanya nikuonyeshana umwamba kuwa nani zaidi yanani tengeneza picha je kwa sisi raia wakawaida itakuaje? tuwaachie wenyewe maana sisi tupo chn yao.
 
angalia watu kama hawa na usikute hapo alipo anakichwa kikubwaa lakn bongo lote ni kamasi tupu...

Hakuna aliyejuu ya sheria.
Leo hii ww ukiibiwa,mwanao kabakwa au ndg yako kapigwa panga hutaenda jwtz bali utaongoza hilo bongo lako lilijaa makamasi kwenda polis
wewe utakuwa ni polisi maana una jazba kama vile umenyimwa rushwa na mama muuza gongo!!
 
VURUGU MARA: Wanajeshi 6 JWTZ jioni hii wavamia kituo cha polisi cha Tarime na kuwapiga polisi baada ya mwenzao kukamatwa, RPC Lazaro Mambosasa athibitisha.



CHANZO: Mwananchi
laana hiyo ina watafuna hao watumwa wa ccm.
 
wewe utakuwa ni polisi maana una jazba kama vile umenyimwa rushwa na mama muuza gongo!!

ha ha ha wanapenda sana kukamata boda boda badala ya kuwa kamata mafisadi na majangiri kama katibu mkuu wa chama chao.
 
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?

mkiacha kupokea kitu kidogo hakika mtakua walinda nchi kamili na hata mkipigwa tutasononeka ila kwa sasa ni vigumu kutushawishi kwan mmekua nusu walinda nchi nusu wadidimiza nchi kwa kuwanyima haki wasakatonge.....pole sana najua unajarib kulisafisha jeshi lakn ni chafu linanuka rushwa.
 
Back
Top Bottom