Uko sahihi kabisaWengine hatufahamiani na watu Humu na Hatuna hata wana!
Huyu alikuwa na uzi maridadi, a resourceful law person on JF, tangu aondoke, ukafa!5. Dragoon
Ooh I see.Wameungana na kufungua kampuni yao. Wako busy wanasimamia mahesabu ya kampuni wasidhurumiane.
Hawapumziki, hawana off, hawalali wanachapa kazi tuu.
Zipi hizi?Viatu vya samaki na miguu ya kuku wana ID nyingine.
Walitongoza mademu Pm wakakataliwa ikabidi wabadili ID
Akili ya vodka za Jumapili




Na wewe nilikuwa nakutafuta sana.Namba 6 na 7 ni huyo huyo kwa sasa yuko benchi kidogo ni miongoni mwa waliokatwa
Nipo mkuu sema kuna mda nabanwa kidogo zi unajua tena kazi zetu hizi.Na wewe nilikuwa nakutafuta sana.