Achukue haya maneno, atasogea sehemu....cha msingi pambana na mechi zako, usichungulie pembeni utaumia🤝Kula mpakani mwa mchana na usikuu mkuu ,uku ukiendeleaa kupambana km n mwanaume kwelii .
Shule badae kwanza, tujadili mada kwanza😅Hari - hali
Tamka la le li lo lu
We unakula Milo mingapj?Mimi kwa upande wangu hari imekuwa tofauti sana .Uchumi umekabia juuu wee sasa naoma ukabie miguuni sasa.🥺
Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
Shida watu tunakuwa appetited kuliko tunachoingizaKula kutokana na kipato chako na aptite yako
😂😂😂😂😂Unasoma? Kama unasoma desh ni kawaida😃
Kwanini unautesa mwili hivi na una familia au upo mwenyewe ?Mi wa kwangu ni mmoko tena wa ngama haswaaa .Daaaah kazi ipo