Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,663
- 3,471
kama upo mwenyewe hata ukinywa juisi au chai simple asubuhi na mchana ,usiku ndo unakula napo kistaarabu halafu jumamosi/jumapili unapata chakula cha maana ,fanya hivi mpaka ukipata pesa ya kutoshaKaka nipo mwenyewe tu 🤣😂 nikiwa nafamilia nahama mji