Wanajamii forums tunzeni haya maneno.

Wanajamii forums tunzeni haya maneno.

Kila la heri mtoa mada, pambania kila unachoamini, japo namna ya kukipambania inaweza isitufurahishe wote ila as long as you're the one riding, endelea!

Kule kwetu wanasema, ukimaliza futa mdomo, sijui kwa nini hawakusema nawa mikono.
Ni kweli namna ya kufikia azma siyo ya kufurahisha lakini ni necessary na matunda yake ni makubwa na influencial kwa wengine
 
Kijana, mdogo wangu/Mdogo wetu..
Kamwe usiwe una tabia ya kuropoka matarajio yako mbele ya watu usiowajua. Nahisi kuna situation fulani unayoipitia imakuvuruga sana akili mpaka umekosa utulivu ndio maana unaandika matarajio/ndoto yako bila hata kuulizwa.

Jifunze kunyamaza na endelea kujenga umaarufu wako kimya kimya 😂😂😂 unatutangazia sisi humu kwa faida gani ? Wapo Vijana humu huwa wanajiandikia tu tambo zao matokeo yake wanaishia kubezwa na kugeuzwa vikaragosi (kuna tajiri wa Singapore humu ) ametamba sana yeye ni mtu wa mademu na pombe lakini umaarufu wake umeshachuja tayari. Na wewe unakuja na ndoto zako ambazo huenda zisitimie , aisee utabaki na sonona tu.

Kaa kimya hakuna anayejali kama utakuwa maarufu (sijui umaarufu wa aina gani) maana hayo ni maisha yako na sisi wala hatujali kuhusu maisha yako. Kuna wenzako wengi tu humu wamepita na mbwbwe kama zako lakini naona wamepotea tena ndani ya miaka miwili au mitatu.

Tengeneza future yako bila kelele na unavyoendelea kuropoka humu inaonekana una shida sehemu. Kelele nyingi huwa zina mwisho mbaya na wewe ndiko unakoelekea huko.

Endelea kujijenga kimya kimya hizo kelele zinakuonyesha una tatizo sehemu.

Ushauri wangu ni huo na mtazamo wangu ni huo.
Na umemshauri vyema sana.
 
Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..

Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila wanajamii forum waone ninavyo yafikia malengo yangu

Ninaandika haya sio kwa ajili ya kufurahisha au kutaka attention ya watu, bali ni kama continuous affirmation kwangu na kila asomaye hapa.

Kuna wengine ambao hawa amini on the power of affirmations in this world, but everything on this world is built for us.. It is just us to tap into the right vibration. The world is soo much bigger, and as Kanye west puts it, " the world is your your oyster"

We need to normalize saying out loud what we really want and need.
Hilo linawezekana,ila ikiwa Tu kuwa wewe sii mwananshomile,kwani akina nshomile kuna wakati wanajifariji zaidi ya uhalisia wa vile inawezekana
 
Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..

Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila wanajamii forum waone ninavyo yafikia malengo yangu

Ninaandika haya sio kwa ajili ya kufurahisha au kutaka attention ya watu, bali ni kama continuous affirmation kwangu na kila asomaye hapa.

Kuna wengine ambao hawa amini on the power of affirmations in this world, but everything on this world is built for us.. It is just us to tap into the right vibration. The world is soo much bigger, and as Kanye west puts it, " the world is your your oyster"

We need to normalize saying out loud what we really want and need.
I use to second this positive frequency in the quantum field where everything behave as a wave. I can sense my inner being sparked sparingly in a marvelous way ever noted before.

You deserve it Brethren
 
Indeed we all are deserving of everything we want in life
 
Back
Top Bottom