Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,688
- 14,144
Kila la kheri katika kutimiza matamanio yako
binti kiziwi kasha geuka kuwa mtu mbaya sana, na wewe si wa kuaminiwa, Inshort I'll be very keen of who I allow in my circle. 😎Uzuri mie na binti kiziwi ndo golden sisterz wako so nafasi zetu ktk huo ufalme wako ujao ni za uhakika.
Keep dreaming dogo.
Mimi nitakuwa Chawa wako
Kila la kheri kiongozi, amini kila Jambo linawezekana.Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..
Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila wanajamii forum waone ninavyo yafikia malengo yangu
Ninaandika haya sio kwa ajili ya kufurahisha au kutaka attention ya watu, bali ni kama continuous affirmation kwangu na kila asomaye hapa.
Kuna wengine ambao hawa amini on the power of affirmations in this world, but everything on this world is built for us.. It is just us to tap into the right vibration. The world is soo much bigger, and as Kanye west puts it, " the world is your your oyster"
We need to normalize saying out loud what we really want and need.
Kwa nini unahisi ya kuwa unayafahamu maisha yangu binafsi? Na imeandikwa wapi ya kuwa ni nahitaji kuuliza ndo niandike matarajio na ndoto zangu? Kama sio ujinga wako na kushindwa kutuliza mihemko uliyo nayo?Kijana, mdogo wangu/Mdogo wetu..
Kamwe usiwe una tabia ya kuropoka matarajio yako mbele ya watu usiowajua. Nahisi kuna situation fulani unayoipitia imakuvuruga sana akili mpaka umekosa utulivu ndio maana unaandika matarajio/ndoto yako bila hata kuulizwa.
Ni wewe ambaye unakaa kudhani ya kuwa mtu kutangaza hadharani kile anakwenda kutimiza ni kujidhalilisha. Ni ushamba wa mila potofu na hofu za kijinga. Mimi ninajifahamu na Nita ongea kila nacho kutaka bila kuangalia nani anasema nini.Jifunze kunyamaza na endelea kujenga umaarufu wako kimya kimya 😂😂😂 unatutangazia sisi humu kwa faida gani ? Wapo Vijana humu huwa wanajiandikia tu tambo zao matokeo yake wanaishia kubezwa na kugeuzwa vikaragosi (kuna tajiri wa Singapore humu ) ametamba sana yeye ni mtu wa mademu na pombe lakini umaarufu wake umeshachuja tayari. Na wewe unakuja na ndoto zako ambazo huenda zisitimie , aisee utabaki na sonona tu.
Kama unafikiri upuuzi wa kujilinganisha na kupima mitazamo ya wajinga kama wewe, bado umesha feli hata kabla haujaanza. Hakuna kiumbe ambaye hana uhuru wa kufanya kile anataka as long as hamkosei mtu.Kaa kimya hakuna anayejali kama utakuwa maarufu (sijui umaarufu wa aina gani) maana hayo ni maisha yako na sisi wala hatujali kuhusu maisha yako. Kuna wenzako wengi tu humu wamepita na mbwbwe kama zako lakini naona wamepotea tena ndani ya miaka miwili au mitatu.
Basi tegemea machapisho mengi ya aina hii kutoka kwangu, maana unazidi kunipa drive ya kujipa more affirmations, meaning, if inawapiss watu wengine... Na hii ndo njia pekee niliyo ichaguaTengeneza future yako bila kelele na unavyoendelea kuropoka humu inaonekana una shida sehemu. Kelele nyingi huwa zina mwisho mbaya na wewe ndiko unakoelekea huko.
Endelea kujijenga kimya kimya hizo kelele zinakuonyesha una tatizo sehemu.
Kijana punguza mbwembwe na siku zote mtu mwenye ndoto kubwa huwa ni mkimya na huwa hakurupuki kujibu jibu hovyo, pokea ushauri na ufanyie kazi .Kwa nini unahisi ya kuwa unayafahamu maisha yangu binafsi? Na imeandikwa wapi ya kuwa ni nahitaji kuuliza ndo niandike matarajio na ndoto zangu? Kama sio ujinga wako na kushindwa kutuliza mihemko uliyo nayo?
Ni wewe ambaye unakaa kudhani ya kuwa mtu kutangaza hadharani kile anakwenda kutimiza ni kujidhalilisha. Ni ushamba wa mila potofu na hofu za kijinga. Mimi ninajifahamu na Nita ongea kila nacho kutaka bila kuangalia nani anasema nini.
Kama unafikiri upuuzi wa kujilinganisha na kupima mitazamo ya wajinga kama wewe, bado umesha feli hata kabla haujaanza. Hakuna kiumbe ambaye hana uhuru wa kufanya kile anataka as long as hamkosei mtu.
Basi tegemea machapisho mengi ya aina hii kutoka kwangu, maana unazidi kunipa drive ya kujipa more affirmations, meaning, if inawapiss watu wengine... Na hii ndo njia pekee niliyo ichagua
Nakwambiaje, live your life mm kufanya hiki simuumizi mwingine na it means siwezi ruhusu mtu mwingine a niambie cha kufanya, kama kimantiki naona niko sawa.Kijana punguza mbwembwe na siku zote mtu mwenye ndoto kubwa huwa ni mkimya na huwa hakurupuki kujibu jibu hovyo, pokea ushauri na ufanyie kazi .
Penye nia pana njia. All the best young fella.Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..
Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila wanajamii forum waone ninavyo yafikia malengo yangu
Ninaandika haya sio kwa ajili ya kufurahisha au kutaka attention ya watu, bali ni kama continuous affirmation kwangu na kila asomaye hapa.
Kuna wengine ambao hawa amini on the power of affirmations in this world, but everything on this world is built for us.. It is just us to tap into the right vibration. The world is soo much bigger, and as Kanye west puts it, " the world is your your oyster"
We need to normalize saying out loud what we really want and need.
Nani alikwambia kuwa kila mtu anahitaji kuja kijijini?