Kama angevaa vizuri muda huu mngekuwa mnaongelea harusi ya p...
Lkn saiz kila mtu hata nigeria wanamdiscus yeye...
Huyu dogo ubongo wake unafanya kazi haswaaaa!!!
Nachukia umaarufu kama huu kuliko chochote, Mungu nisamehe ila I better die alone than getting married with the so called celebrity, mpaka naskia hasiraaa
kwa kweli hata mi ilivyoona hiyo pedo, nikajiuliza hivi mtu anawezaje kudress hivyo kwenye harusi? nikadhani labda mie mshamba, na hayo ndio mambo ya kimjini. kachemsha na hilo vazi, lol.
From being Muuza mitumba original to kwenda kuwa msanii wa kichanganyika na celebrity wakubwa si mchezo .... Anahtaj trainings kidogo kama nini anatakiwa afanye akiwa wapi na akiwa na nani. Kutafuta attention ipo siku kutamtokea puani maana nakumbuka wakati wa msiba wa Marehemu Sepetu alinyanyuka aondoke kabla ya Rais wa Zanzibar na huku wote walikuwa wametangaziwa asiondoke mtu kabla Rais hajaondoka angepigwa risasi siku zile sahiz tungekua tunamienzi kwa kale ka wimbo kake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.