Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
watu na wabunge kadhaa baada ya kuona tension iliyopo hospitalini kat ya ma DR na serikali kutopata respond nzuri ya serikali wameamua kuja kwa stail nyingine kama ya wenzetu hao wa human right na wamwa but bcoz always anae dai haki amekua akionekana yeye ndie mvunja amani huishia kukamatwa na police, so how long not long will we tollerate this act, demn it pinda na jk
 
police wa tanzania na kova wao wote mach....................................k....................................o
Unamjua huyu1!!!!!!! hahahahahaaaa!!!
4.JPG
 
Hongera sana serikali ya chama cha mapinduzi,maana kwa kuwakamata hawa mmemwagia petroli kwenye moto mkijaribu kuuzima!!!!

Yaani wasifikiri kuwa ni dawa au ndio kufunga watu midomo. INABIDI YAANDALIWE MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUPINGA HIKI KITENDO.

Wasifikiri kuwa watu hatuna akili "kukaa kimya si kuogopa"

Kwanza nakipongeza kitendo cha hawa wanaharakati. KEEP IT UP.

Watanzania tupo nyuma yenu, kwani wasifikiri kuwa ndio mwisho. YAANDALWE MAANDAMANO YA NCHI NJIMA TUONE KAMA POLISIS WATAWEZA KUZUIA. NA KAMA MABOMU YA MACHOZI BASI RAIA WATAKUJA NA MABOMU YA PETROL TUONE LIPI KUBWA NA LENYE NGUVU.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sometimes I do fail to make a distinction between genuine and dishonest human rights activists. Quite often most people who refer themselves to as activists take advantage of any social crisis to add something to their status so that they can later on stand for high-profile political positions. We should be very careful not to allow a certain group of acquisitive people who disguise themselves with a solicitude to hold hostage the current health crunch to their own advantage.
 
habari nilizopata sasa hivi ni kwamba boss wa kituo cha sheria na haki za binadamu -- helen kijo-bisimba na mkurugenzi wa tamwa ananilea nkya wamekamatwa muda huu na polisi maeneo ya muhimbili na wanahojiwa katika kituo cha polisi cha oysterbay.

Nikipata habari zaidi nitawajulisha.

wasipowaachia tena bila masharti tunapanga maandamano nchi mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Polisi nawasihi sana mtandao wa wanaharakati tuko kila mahali tanzania!!!! Jiandaeni kukamata pia wa mwanza, arusha, dodoma, dar es salaam na kwinginineko!!!!!?????? Waachieni hao mama zetu haraka tena haraka sana!!!!!!!!! Nasema waachieni hao akina mama, wamedhubutu kuiwajibisha serikali wakati mamilion ya watu wamekaa kimya!!!!!!!!!!! Nasema waachieni>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> kama hamtaki endeleeni mtakiona>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
To be honest watanzania wengi ni waoga,wanafki na tusiojua kutenda zaidi ya kulalamika!hawa wamama na baadhi ya wanaharakati jana wamejitolea kutetea wagonjwa na nadhani hii ni sababu ya leo tena serikali kutoa tamko!leo watu bila hata aibu wanawablame kuwa wanatafuta popularity!watu tuwe na huruma na watu wa vitendo.wanaume wazima mmekaa nyuma ya keyboards mnapost tu na kuuliza kama wameolewa!shame on you!!
 
Wakome kupandia migongo ya wagonjwa! waliondamana jana jana wote wana mishahara,

Si bure wewe umerogwa; tena aliyekuroga amekufa baharini hata kaburi lake halijulikani.

Sijui utaponaje!!!!!! MASIKINI WEEEEEEEEEEEEEEE.............. KIJANA MDOGO KABISA LAKINI NDIYO HIVYO TENA!!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
wataachiwa kwani polisi kwa mujibu wa mdau alieko polisi wameshindwa ktk charge sheet waandike kosa gani
pili watakapowapelekwa mahakamani itasababisha mambo mengine makubwa zaidi kwani wao wanatetea uhai wa watu na polisi hao hao ni miongoni mwa waathirika.
tujiulizee hivi syria,libya misri na tunisia nao waliomba vibali???
soon nchi itaelekea tunakotaka,kuwasimamisha kazi katibu na mganga mkuu pekee hakutoshi
bado mawaziri wa wizara husika na raisi mwenyewe avunje baraza lake.
 
Sometimes I do fail to make a distinction between genuine and dishonest human rights activists. Quite often most people who refer themselves to as activists take advantage of any social crisis to add something to their status so that they can later on stand for high-profile political positions. We should be very careful not to allow a certain group of acquisitive people who disguise themselves with a solicitude to hold hostage the current health crunch to their own advantage.

eheee......some case studies pls
 
Breaking News: Wanaharakati watiwa Mbaroni!

Habari za sasa wandugu?
Kufuatia kusanyiko la jana (ambalo limekuwa na mafanikio), leo majira ya saa sita na nusu mchana, baadhi ya Wanaharakati wa Haki za Binadamu wametiwa mbaroni, akiwemo Mama Ananilea Nkya na Mama Kijo-Bisimba.
Sababu: Inasemekana jana walikusanyika bila kibali.
Kwa sasa wapo Kituo cha Polisi Oysterbay.

View attachment 47039

Waache ujinga hao polisi...watu wanakufa mahospitalini, wao wanataka waombwe kibali? Pambaf!! Waulize wale waliomng'oa Mubarak kama walikuwa na kibali pale Tahrir Square... hovyoooooo
 
ndo shida ya Tanzania ukidai kilicho chako wanakuzima kama mshumaa, yani hii ni nchi jamani kama makaburu wa kipindi kile south africa, Mungu awe pamoja na hao waliokamatwa.
 
kweli nimeamini wapo watu wanatumia masaburi kufirikiria
 
Habari nilizopata sasa hivi ni kwamba boss wa kituo cha Sheria na haki za binadamu -- Helen Kijo-Bisimba na Mkurugenzi wa TAMWA Ananilea Nkya wamekamatwa muda huu na polisi maeneo ya Muhimbili na wanahojiwa katika kituo cha polisi cha oysterbay.

Nikipata habari zaidi nitawajulisha.

Hawa polisi nao wanatumika vibaya kuwaumiza kuwakandamiza Watanzania,elimu zao darasa la saba sijui Kama tutafika salama.
 
Kufuatia maandamano ya amani yaliyofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu, leo polisi wamewatia mbaroni baadhi ya viongozi akiwemo Ananilea Nkya kwa kigezo cha kuandamana bila kibali. Mwenye taarifa zaidi atujuze wandugu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom