Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Hawa akina mama watu wazima, sawa kabisa na wazazi wetu wanafanikiwa kudai haki kwa vitendo, wakati sisi humu tunashindania ubingwa ku-type hoja kwenye keyboards tu. Laiti maneno tunayoandika humu yangekuwa matendo, kungekuwa na nguvu mara kumi ya waliyoionyesha hawa kinamama.
Ni kweli hii ni "The Home of Great Thinkers"? Fikra tupu bila vitendo! Changamoto kwetu hiyo jama!
nime'like kwa uchungu huku nikiinamisha kichwa chini kwa aibu maana nimetumia keyboard kama wewe ulivyofanya, mimi na wewe tunatia aibu taifa letu. (tahadhari, mipango mibovu ya maandamano ndo sababu ya kuchelewesha ukombozi wetu)
 
This is Tanzania nchi yenye AMANI!!! ila sielewi amani kwa viongozi wetu inamaanisha nini?
 
Wakati akina mama (Ananilea Nkya na Irine Kiria) wanapambana akina baba tupotupo tu!! Inaelekea sisi ndiyo wafaidikaji wakubwa wa system hii. No wonder Mafisadi wote aliotajwa kwenye ile list ni akina baba!!

Haya, madaktari ................ hawa watu waliwaunga mkono. Na nyie inabidi muwakumbuke sasa. Au hizo million 3 na aloowance za magari msha sahau mliko toka??
 
Sioni sababu ya kuwaklamata hawa akina mama.
Wameandamana kwa
kwa uchungu kwa jinsi hali ilivyo kwa wagonjwa katika
mahosipitali yetu, ni busara sana waliyofanya kuwa na maandamano ya dharura kama ya jana
Angalau sasa tunaona serikali inaanza kuliona hili
 
We ni fa.............................................ra, pu.........................................mb.......................a......................f, ga..........................mba, mb...........................u..................zi. na hakika hufai humu janvini

Duuh!! punguza hasira ndugu kabuga ndio matunda ya demokrasia hayo yaani kila mwenye mawazo anayaongea hata kama mawazo hayo hayana msingi wowote.
 
Kuna watu humu jf hawana maana kabisa juzijuzi hapa wamesitisha yale maandamano ya katiba mkawaponda leo wamekomaa bila kibali wameingia road mnawaponda tena , heeee vipi tuwaitege ninyi?
 
Nakumbuka jana kuna mtu aliniambia walisema haya sasa wanawake tumeweze wanaume mko wapi? Na kama wakisema jana mkutano haukuwa na kubali ilibidi kwani hata kama wangeomba kibali wasingepewa kwani siku zote serikali yetu haikubali kupingwa.
Wakati akina mama (Ananilea Nkya na Irine Kiria) wanapambana akina baba tupotupo tu!! Inaelekea sisi ndiyo wafaidikaji wakubwa wa system hii. No wonder Mafisadi wote aliotajwa kwenye ile list ni akina baba!!

Haya, madaktari ................ hawa watu waliwaunga mkono. Na nyie inabidi muwakumbuke sasa. Au hizo million 3 na aloowance za magari msha sahau mliko toka??
 
Nyie polisi, tafadhari hebu waachieni Mashujaa wetu

Hawajui watendalo, sijui wameliangalia hili kwa mapana maana watavuta hasira za watanzania na hisia za wanaharakati duniani.
Patachimbika wasipokuwa makini, ni bora wawaachie huru mapema kabisa.
 
Tunaomba msadie wanaharakati waliokamatwa, tuma ujumbe 0754332999 kwa kamishna Mtweve kueleza kusikitishwa kwako na hatua hii
 
Heko. A.NKYA NA WANAHARAKATI WOOTE.
WANA TUCTA, WALIMU, VYAMA HUU NDIYO WAKATI?
tujitokeze kwa wingi tunayaomba maadamano ya amani wa na harakati wamesha tuanzishia
haya shime tushikamane ndugu zetu wafa wabunge wanapata uthubutu gani wa kuendelea kujadili mambo mengine wakati huduma zimesimama mahospitalini?Je ni kwa kuwa wao wanapelekwa mahospitali ya India ndiyo maana hawatujali?Huwa wanasema akina
mama wana huruma nilitegemea Spika angekuwa wa kwanza kuliona hili toka mwanzo na kusitisha shughuli zote.eti jana ndiyo unatuma kamati ikafanye nini unaelewa fika watu walishagoma siku nyingi ulichokuwa unakitaka spika toka kwao ninin haswa?ulitaka kujua tu ni wangapi wamekufa?ama ulitaka tu kujua ni kweli hawa Ma dr wamegoma kweli ama wanatania hakika huu ni usanii mtupu

Lazima akina mama muwatete akina mama wenzenu ambao wanahitaji msaada wa haraka hasa wanaojifungua kwa matatizo? Jana mama mmoja alikuwa anajiburuza chini analia, hajui ampeleke mwanae wapi na hela hana ya kumpeleka Private Hosp masikini wa mungu. Ama kweli serikali haina ubinadamu kabisa. Mama zetu msikate tamaa, sisi vijana tunajua mnavyoumia rohoni.
 
Kweli tanzania nchi ya amani wiki tatu madaktari wamegoma kwa sababu ya uzembe wa serikali na serikali haijawajibisha mtu!!! Waliotakiwa kuhojiwa na polisi ni Blandina nyoni na wenzake sio wanaharakati. Kimsingi tuliotoka kuandamana tulikuwa wachache sana ukilinganisha na ukubwa wa tatizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom