Dkt. Ananilea Nkya, Mwanaharakati, Mwandishi Mkongwe mtetezi wa Haki za Binadamu

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
10,295
8,258
Dkt. Ananilea Nkya moja waanzilishi wa chama chá wanahabari wanawake nchini (TAMWA) mwaka 1987 amekuwa msaada mkubwa hasa katika utetezi wa Haki za Binadamu.

Katika Sakata la kukamatwa kina Dr slaa,mwanamana huyu alitoa hotuba iliyojaa ujasiri kuwahi kutokea.
Dkt. Nkya msomi mwenye shahada ya uzamivu(PhD) kutoka chuo kikuu chá Bradford uingereza katika habari, shahada ya uzamili (masters) katika habari aliyoipata mwaka 1992 katika chuo kikuu chá Cardiff nchini uingereza,na shahada ya mãendeleo nchini Finland.

Dkt. Nkya anazungumza kwa ufasaha lugha za Kijerumani,kiswidi(swedish), ki dutch amewahi kufanya kazi mda mrefu katika shirika la utangazaji TBC (zamani Radio Tanzania Daresalaam) pia amewahi kuwa mwenyekiti wa TAMWA, MCT kwa vipindi tofauti.

Tumpe Mauá yake

images%20(3).jpg
 
Huyu nae Hadi anakufa hakuna Cha maana atafanikisha zaidi ya pinga pinga Kila kitu
 
Ulitaka alambe miguu yenu! Mtu anayejiamini hajikpmbi kwa mtu yoyote.
Hao marais waliopita wamelifanyia nini taifa zaidi ya kututia umasikini.
Ulitaka kufanikiwa sio Kila mara utakaza mwisho wa siku utaishia kuwa mjinga na hakuna ulichofanikiwa.
 
Back
Top Bottom