Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Feb 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Habari nilizopata sasa hivi ni kwamba boss wa kituo cha Sheria na haki za binadamu -- Helen Kijo-Bisimba na Mkurugenzi wa TAMWA Ananilea Nkya wamekamatwa muda huu na polisi maeneo ya Muhimbili na wanahojiwa katika kituo cha polisi cha oysterbay.

  Nikipata habari zaidi nitawajulisha.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wakome kupandia migongo ya wagonjwa! waliondamana jana jana wote wana mishahara,
   
 3. k

  kanjanja Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye taarifa rasmi atujuze maana kuna rafiki yangu yupo maeneo hayo kani-sms muda huu.
  Inasemekana ni muendelezo wa maandamano ya jana ambapo waandamanaji wanataka kwenda ikulu kujua kama na rais yupo au ameshaondoka na kukimbia!!!
   
 4. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Du kama rais katoroka siku ya leo nitafanya sherehe kubwa sana.
   
 5. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Wanaharakati wanakamatwa na sasa hivi wanaswekwa Osterbay polisi.
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  labada hii yaweza kuwa sababu.
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  Nyie polisi, tafadhari hebu waachieni Mashujaa wetu
   
 8. E

  Etairo JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanawanyamazisha kiaina hivyo, si unajua wakubwa hawataki kuumbuliwa?
   
 9. E

  Etairo JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mzee wa kutelezesha hoja natunga sheria au anauchapa? alilala kwa changu nini?
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  YUKO BAGAMoYO KWA MGANGA
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  uanfikiri ukipata ajali sasa hivi au mtu wako wa karibu halafu ukipelekwa moI utajibiwa nini? Sikuombei mabatya but watch out your words...
   
 12. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Breaking News: Wanaharakati watiwa Mbaroni!

  Habari za sasa wandugu?
  Kufuatia kusanyiko la jana (ambalo limekuwa na mafanikio), leo majira ya saa sita na nusu mchana, baadhi ya Wanaharakati wa Haki za Binadamu wametiwa mbaroni, akiwemo Mama Ananilea Nkya na Mama Kijo-Bisimba.
  Sababu: Inasemekana jana walikusanyika bila kibali.
  Kwa sasa wapo Kituo cha Polisi Oysterbay.

  wanaharakati.jpg
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  The DOGS are Out...! Who let them?
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Walifanta fujo wau hawakutakiwa kuwa eneo la mkutano alipo Pinda au kuna sababu imefanya wakamatwe ?
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa wamama wana mabwana kweli?
   
 16. t

  trigger Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Hao polisi ni was..................... Sana
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Breaking News: Wanaharakati watiwa Mbaroni!

  Habari za sasa wandugu?
  Kufuatia kusanyiko la jana (ambalo limekuwa na mafanikio), leo majira ya saa sita na nusu mchana, baadhi ya Wanaharakati wa Haki za Binadamu wametiwa mbaroni, akiwemo Mama Ananilea Nkya na Mama Kijo-Bisimba.
  Sababu: Inasemekana jana walikusanyika bila kibali.
  Kwa sasa wapo Kituo cha Polisi Oysterbay.

  View attachment 47039
   
 18. j

  jjjj Senior Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heko. A.NKYA NA WANAHARAKATI WOOTE.
  WANA TUCTA, WALIMU, VYAMA HUU NDIYO WAKATI?
  tujitokeze kwa wingi tunayaomba maadamano ya amani wa na harakati wamesha tuanzishia
  haya shime tushikamane ndugu zetu wafa wabunge wanapata uthubutu gani wa kuendelea kujadili mambo mengine wakati huduma zimesimama mahospitalini?Je ni kwa kuwa wao wanapelekwa mahospitali ya India ndiyo maana hawatujali?Huwa wanasema akina
  mama wana huruma nilitegemea Spika angekuwa wa kwanza kuliona hili toka mwanzo na kusitisha shughuli zote.eti jana ndiyo unatuma kamati ikafanye nini unaelewa fika watu walishagoma siku nyingi ulichokuwa unakitaka spika toka kwao ninin haswa?ulitaka kujua tu ni wangapi wamekufa?ama ulitaka tu kujua ni kweli hawa Ma dr wamegoma kweli ama wanatania hakika huu ni usanii mtupu
   
 19. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una radhi ya nani wewe?
  Mabwana ndio wangefanya wawe makondoo kama wewe?
   
 20. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hawa akina mama watu wazima, sawa kabisa na wazazi wetu wanafanikiwa kudai haki kwa vitendo, wakati sisi humu tunashindania ubingwa ku-type hoja kwenye keyboards tu. Laiti maneno tunayoandika humu yangekuwa matendo, kungekuwa na nguvu mara kumi ya waliyoionyesha hawa kinamama.
  Ni kweli hii ni "The Home of Great Thinkers"? Fikra tupu bila vitendo! Changamoto kwetu hiyo jama!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...