Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,571
- 4,747
Those accidents and deaths are justified. That's why we are happy and thankful.Utu kufurahia ajali na vifo?
WOTE KUFENI TU MAAMAE.
NO MERCY!
adriz de mbusii
Those accidents and deaths are justified. That's why we are happy and thankful.Utu kufurahia ajali na vifo?
Kwenu hakuna marehem?Those accidents and deaths are justified. That's why we are happy and thankful.
WOTE KUFENI TU MAAMAE.
NO MERCY!
adriz de mbusii
Ee Mola wetu funga kurasa zao za uwepo wao na sisi.Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa tulizopokea hadi sasa, ajali hiyo imehusisha gari lililokuwa limewabeba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Joseph Nzala Lyata, pamoja na waandishi wa habari akiwemo Frank Leonard, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa na mwandishi wa magazeti ya Serikali; Denis Mlowe wa Fullshangwe Blog; Clement Sanga wa Channel Ten; Herieth Mola wa Mkombozi Online TV; pamoja na Zuhura Zukheri wa Abood TV.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa hakuna kifo kilichotokea katika ajali hiyo. Hata hivyo, jitihada zinaendelea kufanyika ili kupata taarifa kamili kuhusu idadi na hali ya majeruhi.
View attachment 3539618
HakunaaaaassaasGet well soon
Hovyo kama **** lililokuzaa🚮Nyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hii
Shida nini boss wangu ?Hakunaaaaassaas
WafeeeeeeeeeeShida nini boss wangu ?
Wakufe tu habari za maana hawaandiki wanaandika uchawa tu kusifia wauaji na majizi ya kura yaliyokubuhuBaadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa tulizopokea hadi sasa, ajali hiyo imehusisha gari lililokuwa limewabeba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Joseph Nzala Lyata, pamoja na waandishi wa habari akiwemo Frank Leonard, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa na mwandishi wa magazeti ya Serikali; Denis Mlowe wa Fullshangwe Blog; Clement Sanga wa Channel Ten; Herieth Mola wa Mkombozi Online TV; pamoja na Zuhura Zukheri wa Abood TV.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa hakuna kifo kilichotokea katika ajali hiyo. Hata hivyo, jitihada zinaendelea kufanyika ili kupata taarifa kamili kuhusu idadi na hali ya majeruhi.
View attachment 3539618
Mjinga mkubwa wewe, Yaani Watanganyika mmewauwa maelfu kwa maelfu na mmefanya kusherehekea na kuwafanya kwamba si watanganyika, wakati huo huo mmewazika kwenye kaburi la khalaikiNyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hii