Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,577
- 46,687
Ajali zipo ila madereva wengi wa haya magari wao ndio wanatengeneza ajali kwanza wanayaamini hayo magari kupita kiasi wakati hizo gari zimenyimwa balance zikiwa kwenye mwendo mkali ikikutana na bump na kona ndogo tu litaelekea upande linalotaka lenyewe likiwa hewani..
Huwa nawashangaa sana wanaokimbiza hizo hardtop wakidhani ni sifa..
Huwa nawashangaa sana wanaokimbiza hizo hardtop wakidhani ni sifa..