Wanafunzi wa kike wa UDSM.......

kamata fursa na
GEGEDAAA
 
baba zetu sio mafisadi
baba zetu ni bodaboda
 
Ndiyo maana yakimaliza yanaanza kukodoa macho eti nahitaji mwanaume material anioe,nani akuoe wewe kama ni soda hata gesi ilishaisha.Hayo mishipa ya aibu ilishakatika pole mkuu.
Africans mnaapenda kuhukumu sana , kwanza huoni huyu wa hivi ndo mzuri ana uzoefu wa kila rombo!! amepiga uhuni kamaliza, sasa ana tulia, hkn wa kumdanganya tena!
 
Kawaida ya wanachuo now days coz mi niliona cm ya fiance wangu eti anamwambia sa ukinichunia unategemea mi ntaishije niliishiwa tu pozi yaan inaonyesha kabisa wako kipesa zaidi sasa wanaume kazi kwenu.......
Uzuri wa wanachuo kama hao sio wanafiki...hapa papuchi for sale.
Sasa wewe ilikuwa wapekua cm ya fiance tena wakati kashakuvalisha pete?
 
Mkuu hapa kuna hostels za Coet block P? Navyofahamu Masters hapa wanakaa Mabibo Hostel pale bloku F, again nina smell uongo hapa asee eti with in tha period of time mabinti sita wakufuate wakuombe namba as simple as that? again huu mwandiko wako ni wa MASTERS kweli? natoka huku Soed nakuja hado Coe kuitafuta hiyo Hosteli na hao mabinti!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…