Wanafunzi wa kike wa UDSM.......


ni kabila gani hao wadada? sio wahaya tena?
 
ngoja na mimi nije kukaa hapo COET ili ning'oe watoto wa UDSM kiulainiii..
 

alafu wewe inaonekana degree yako umesomea madongo kuinama basi unasoma masters udsm unatangaza hadi dunia nzima wajue! unashangaa shangaa tu vitu vidogo hivyo!
kafanye research zaidi ndo urudi tena
 
mbona wengine wapo udsm wanasoma masters wasitongozwe tena chumba hicho hicho unachosomea cha coet!

unawatongoza unakuja kugeuza kwa kuandika unatongozwa! duh
 

Aaah Block S ipo na A21 nimekumbuka mbali sana wakati huo tunata FoE
 
Basi udsm umebadilika au ww una bahati sana, siamini Hicho ulichoandika
 
Acha uoga wewe. Gegeda watoto wa kike haooo

Mkuu huyu jamaa ananikumbusha elementary level kuna mademu walikuwa wakitongozwa wanaenda kusema kwa walimu, lakini baadaye walikuwa ni noma aisee.
Yeye kama hawezi kuwachapa nao apige kimya
 
Napata shaka kuamini kama kuna mwanamme wa level ya Masters Degree na utu uzima huo ulalamike kufuatwa na wachuchu!? It sounds like a joke to me.

Mimi nilisoma pale na watoto wa kike wa UDSM nawajua vizuri tabia zao; wengi walikuwa hawajilengeshi kwa wanafunzi hata wa PhD bali walikuwa wakitega mingo zao kipindi cha field maana wanakuwa free na ndio wanapata muda kujiachia. Ila kusema wanachuo wanaomba hela ya lunch ni kuwadhalilisha sana wanachuo.

Hao ambao mleta mada anawa-refer hapa labda ni watoto wa sekondari (walikuwa wanakuja wengi tu) wamemuingiza mjini yeye akadhani wapo chuo. Hii ndio Dar mzee, ukilala tu...
 
mbona wengine wapo udsm wanasoma masters wasitongozwe tena chumba hicho hicho unachosomea cha coet!

unawatongoza unakuja kugeuza kwa kuandika unatongozwa! duh

vipi mbona hivyo? Nahisi wewe ndio namba mbili kati ya wale 6
 
UDBS Ndo kuna Vimwana acha tu ila huko CONAS wanawake wa kuhesabu tena kama madume si unajua maswala ya Maths na science kwa masister du ngumu
kumbe fursa zipo....

ngoja nitoke UDBS mara moja niweke kijiwe CoET!

naona hapa CONAS na UCASS haya mambo hayapo! lols!
 
Naungana na tata umekuta na wasichana 6 unageneralize wanafunzi wa udsm poor masters student halafu unaenda kufanya reserch ya masters kweli bongo madesa tu kuongeza mshahara hakuna kitu usikurupuke kaka kuandika thread kwa kugenaralize
 
Kp calm mkuu hayo mambo yapo,yalikuepo na yataendelea kuepo! Cha msingi timiza wajibu..soma,maliza usepe kwako! Waache watu na fursa zao, asa unataka wakale wapi jaman!

Hahahaaa lolz
 
wengine wamekuja kukua hapo, so wewe kaza tu mkuu maliza uamshe. sasa unataka kuniambia wakiombwa gemu na maticha ili wawafaulishe watakataa, hapana watakubali. wengine hawa jielewi so ka vp wapotezee
 
Kawaida ya wanachuo now days coz mi niliona cm ya fiance wangu eti anamwambia sa ukinichunia unategemea mi ntaishije niliishiwa tu pozi yaan inaonyesha kabisa wako kipesa zaidi sasa wanaume kazi kwenu.......

Labda ataishije without talkin to u!
 

Umenena vema Mzee TupaTupa. UDSM ni chuo chenye heshima zake, asilete tamaa zake hapa kwa kisingizio cha dada zetu kwamba wanajiuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…