Wanafunzi msijichoshe kufaulu sana, ajira haziangalii ufaulu mkubwa

Mkuu kusoma nje wanataka GPA kuanzia ngap kwan
Kwa China na Asia yote ni kuanzia GPA 3.0 na uwe na experience na kazi, ila kwa ulaya mashariki kuanzia GPA 3.5 kwenda juu na uzuri wa kule unaweza kusoma then jioni unabeba box, ubaya wa China ni shule shule tuu
 
Nimecheka leo nilipokuwa maeneo ya mjini huko, nilisikia vijana wakilalamika kuwa; wanajuta kufaulu kwa kiwango cha juu kwani hakuna maana yoyote na haisaidii popote pale.

Nina kiji-internet Cafe changu hapa mjini, sasa baada ya kusikia tangazo la ajira za waalimu na afya, nikasema acha nisimamie shoo mwenyewe kupiga pesa za wasaka ajira. Ofisi yangu ilianza kufurika jana saa tisa na mpaka saa nne usiku nilikuwa nao waomba ajira.

Sasa kinachonifanya niandike hapa, ni mwalimu mmoja mwenye umri wa miaka 29, aliyemaliza mwaka 2015 chuo cha DUCE.
Maneno yake yalinifanya nicheke lakini yalinitafakarisha sana.

Vyeti vyake vya O Level ana divisheni one ya 16 masomo tisa. A'Level ana divisheni one ya 9 Combination ni PCM. Transcript yake niliona anaka-GPA ka 3.8 kutoka pale mlimani/Duce Ambapo GPA hiyo sio haba kwa kweli hasa kwa masomo ya Physics na Mathematics.

Yule kijana alisema akiwaambia wenzake aliokuja naye, baada ya kusifiwa kwa ufaulu huo ambao kimsingi ni mkubwa, yule kijana akasema;

"Kinachoniumiza ni kuwa nilijitesa bure ili nipate ufaulu mkubwa kwa lengo nikimaliza shule na chuo nisipate shida kupata ajira. Ninachoshangaa ni kuwa wenzangu wenye ufaulu mdogo wao ndio wanaajiriwa, mimi niliyekaza na kukesha usiku na kufaulu mpaka sasa nasota. Huu mwaka unaenda wa sita naomba ajira serikalini nakosa"

Maelezo hayo yalinichekesha kwani ni kweli kabisa, na yalinigusa hata mimi kwani mimi nilifaulu kwa madaraja ya mwisho kabisa.
O'Level nilipata divisheni three ya 24, A'Level nikapata divisheni three ya 15, Chuo kikuu nikapata GPA ya 2.6:D:D:D:D:D:D:D:DIngawaje sijasoma ualimu wala udaktari, lakini nilipata kazi mapema sana, miaka ya 2011 licha ya kuwa fani niliyosomea ajira zake ni ngumu kupatikana na wasomi ni wengi. Nilipata kazi nikiwaacha solembe wenye shule na misonge yao:D:D:D:D:D:D

Kufaulu sana sio kupewa kazi, acheni kujichosha vijana walioko chuoni au wanafunzi mlioko shuleni.

Muhimu elimu ikae kichwani zaidi.

Poleni sana mliojifanya chuoni hamli bata kisa kitabu

Povu Ruksa
Hizo ni passmark za kufundishia.Na kwenye Audit firms pia wanapenda briliant brains.

Ila Jamani tusidanganyane,huku sokoni hasa sector binafsi cheti huwa hawangalii sana,wanaangalia tuu kama unacho basi, siyo ufaulu wa kiasi gani.Wanaangalia cv yako kwa umakini mkubwa sana,wakikuta unafaa,watakuita ili kujiridhisha kama yale uliyoyaandika kwenye cv kama yana ukweli,halafu watakutathimini,sema tena watakutathimini! yule mwenye uwezo mkubwa,sema tena,Mwenye uwezo mkubwa! wa hiyo kazi iliyotangazwa kuliko wengine ndiyo atakayependekezwa kuchaguliwa. wakishajiridhisha kwamba unafaa,ndiyo wanarudi kwako kwa mazungumzo zaidi

Kwenye kila Tangazo la kazi kuna vitu viwili vikubwa (practically,siyo vile taaluma ya HRM inavyotaka, bali jinsi soko linavyotaka)

(1) Sifa za lazima na ( 2)Sifa ya ziada .Mashindano huwa ni kwenye vigezo vya ziada. ndipo huja lile swali kwanini uchaguliwe wewe na siyo mwingine.

Sasa hapa utakuta mtu anajiona yeye eti ana sifa za ziada kwa sababu tu alipata first class.Nani anajua uliipataje katika ulimwengu uliojaa rushwa namna hii(hapa unatakiwa kuthibitisha unafaa kwa kazi ) Ndiyo maana waajiri makini wanaangalia tu pass na uwezo wa mtu full stop.

Halafu ushauri wa bure. Usipende kuweka na kubold first class yako kwenye Cv,kama hicho siyo kigezo moja wapo kinachotafutwa,hao wanashort list majina wengi wana pass au lower second.wanasemaga wenye passmark kubwa huwa ni wasumbufu sana makazin,yaani siyo wanyenyekevu.(Ijapo hili halina ukweli,labda ni inferiority complex)
 
Hili imenifikirisha sana kuna jamaa nilisoma nae Education ana 4.5Gpa yupo huko Tanzania Vijijini ana hali Mbaya aisee Mimi na 2.6 nakula raha za Tanzania Mjini
 
Haya bana hongereni mliopata ajira na ufaulu wenu mdogo... Ila sio poa kitaa wqsomi kibao elimu kwa sasa unatakiwa kuchanganya elimu ya mtaani na shuleni ndo utusue... Hata ukiajiriwa Kama huna elimu ya mtaa utasota tu baada ya kustafu
 
Kwani unasemaje Mkuu?

Jf ni nouma mkuu

Mtu huyo huyo ni tajiri kisha baadaye mtu huyo huyo ataomba msaada wa buku mbili kwa anakufa njaa
 
Hizo ni passmark za kufundishia.Na kwenye Audit firms pia wanapenda briliant brains.

Ila Jamani tusidanganyane,huku sokoni hasa sector binafsi cheti huwa hawangalii sana,wanaangalia tuu kama unacho basi, siyo ufaulu wa kiasi gani.Wanaangalia cv yako kwa umakini mkubwa sana,wakikuta unafaa,watakuita ili kujiridhisha kama yale uliyoyaandika kwenye cv kama yana ukweli,halafu watakutathimini,sema tena watakutathimini! yule mwenye uwezo mkubwa,sema tena,Mwenye uwezo mkubwa! wa hiyo kazi iliyotangazwa kuliko wengine ndiyo atakayependekezwa kuchaguliwa. wakishajiridhisha kwamba unafaa,ndiyo wanarudi kwako kwa mazungumzo zaidi

Kwenye kila Tangazo la kazi kuna vitu viwili vikubwa (practically,siyo vile taaluma ya HRM inavyotaka, bali jinsi soko linavyotaka)

(1) Sifa za lazima na ( 2)Sifa ya ziada .Mashindano huwa ni kwenye vigezo vya ziada. ndipo huja lile swali kwanini uchaguliwe wewe na siyo mwingine.

Sasa hapa utakuta mtu anajiona yeye eti ana sifa za ziada kwa sababu tu alipata first class.Nani anajua uliipataje katika ulimwengu uliojaa rushwa namna hii(hapa unatakiwa kuthibitisha unafaa kwa kazi ) Ndiyo maana waajiri makini wanaangalia tu pass na uwezo wa mtu full stop.

Halafu ushauri wa bure. Usipende kuweka na kubold first class yako kwenye Cv,kama hicho siyo kigezo moja wapo kinachotafutwa,hao wanashort list majina wengi wana pass au lower second.wanasemaga wenye passmark kubwa huwa ni wasumbufu sana makazin,yaani siyo wanyenyekevu.(Ijapo hili halina ukweli,labda ni inferiority complex)
Connection tu, vitu vingine vyote ni dust tu, tusidanganyane ajira nyingi ni connection, mbona zile za walimu 13000, zilikuwa na connection ya ukabila . Kila sehemu nayopiga kazi naona ukabila upo kwa kiwango Cha sgr, na huu ukabila ndo unakosesha kazi, Nenda baadhi ya viwanda Kama huna baba , baba mdogo, mjomba , hupati kazi wala field,
Asilimia kubwa ya vipanga hawana connection .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With my lower second class GPA, nipo nasimamia watu wenye First class zao na wengine niliwacharaza vibaya sana kwenye interview. Confidence na social skills ndio GPA ya maana kwenye maisha. Take it or leave it.
 
We joka weweView attachment 1780741
Screenshot_2021-05-11-14-06-41.jpg
 
Siongelei akina profesa maji marefu naongelea academician!! Mtu anayefundisha chuo kikuu kwenye nchi ya Tz.

Je ukiwa na 2.6 unaweza fundisha chuo kikuu?
Hapana.. Hujasema Kufundisha... Concept yako ni kwamba with 2.6 you can't be a Prof.
 
Back
Top Bottom