Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Pdidy, Sep 1, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni naomba msaada wenu kumekuwa na tabia ya wnafunzi kuvaa vinguo vinaonyesha maumbile yao kabisa ama nguo za ndani..na hili limekuwa likitokea na limetokea juzi kwenye tamasha la do me!!!naomba wazazi mtusaidie kuchangia na nyie wahusika watamasha haki kuwaruhusu kufanya mapenzi hadharani??????
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mama Mia TV na video ndio Globalisation.....cha kushangaza wazazi ndio wana entertain ushenzi huu.Siku hizi wazazi wengi wana KISS na watoto wa kike tena ile ya mdomoni kisa wameona kwenye TV.
  unakuta kitoto kibichi kinavutia cha miaka 20 anaogeleea na babake vichuchu vimekamata nguo na vile vijiguo vyao.....balaa tupu!
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ujinga na ulimbukeni miongoni mwa watoto vinachangia huu uharo unaondelea na sasa wazazi na walezi wanapoteza muelekeo katika kuwakanya ukizingatia kuwa technolgy advancement nayo inazidi kuvuruga akili za watoto wetu.

  Ni ugonjwa ambao isipotafutwa tiba muafaka nina uhakika siku si nyingi jamii itashuhudia uchafu wa kutisha. Imekuwa ni jambo la kawaida katika matamasha vitoto vya kike na vya kiume kudhani kuwa ndio mahali pa kujionyesha kwa kuvaa vijinguo vya wazi, kunywa pombe na kuvuta sigara. Huenda pia kuna baadhi ya wazazi wakawa wanapuuzia kuwakanya watoto wao na hasa wanapowaona wakiwa katika mavazi yasiyofaa. Kwa ujumla maadili hakuna lazima tujitazame upya tunakwenda wapi...Niliwahi kuhuduria tamasha moja la Fiesta National stadium sikuamini nilichoona hapo....Unaweza kutamani usizae kabisa.
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hao wanaojianika hivyo ni wazi kuwa wanatafuta wawekezaji...ni umalaya tu uliowajaa
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni nahisi huyu mama mia alikuwa kichwani kwangu.mi nilienda kwenye matamasha na nimekuwa nikiangalia mambo mbalimbali hakika ni aibu tupu!!!kwenye hilo tamasha ni wazi haya mambo yanakushobokewa na wazazi pia...haoi wanafunzi wa happyskillfully boarding ya tabata kweli walikuja na kabasi na walikuwa mbele yangu ikabidi niondoke maana mnaonekana wote washenzi...walishuka kama wachezaji wa taifa stars ilikuwa aibu tu chuchu nje maziwa waziwazi wanume suruali matakoni kama wanasubiri kushugulikiwa ...mmmh mi sijasema niliona tu!!!!
  Nafikiri wzazi na walimu wa hizi shule za boarding waongeze baadhi ya sheria za kuwabana

  nitakupa mfano wale wanfunzi wa jangwani secondary ukifika saa tano utakuta wanaruka ukuta na kanga na kusaidiwa na walinzi huu umalaya auishi labda walinzi wanapewa kamchezo nao

  mungu uwabadilishe
   
 6. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2008
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawalaumiki kuvaa vivazi hivyo na hilo linatokana na sisi wenyewe wa tz kuaminikuwa kila anachofanya mzungu ni wajibu wetu kuiga kwa upande wangu nakupeni miaka 10kuanzia leo tanzania itakuwa ni nchi moja chafu sana katika ulimwengu huu kwa sasa hatuoni mazara yake kuna mengi ambayo bado hayajajityokeza mitaani ambayo yasikitisha ukiwauliza kwanini iwe hivi wanasema eti angalia kule usa na ulaya ni matendo ya kawaida ikiwa ni wasichana au wavulana wanavunja moyo kwani jamii ikipotoka haipotoki ya mwezio tu hata yako inakuwa mkuboni hakuna kiongozi mwenye huruma na kusema mipaka iwe hapa katika madili na utamaduni wa nchi viongozi wetu wanafurahiya
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  mama mia pole sana najua umeuzunika kupita kiasi labda !!!!hivi sasa limeingia wimbi la uchangudoa ndani ya sekondari na hilo swala kuanzia wlimu wakuu na waziri mhusika analijua hili!!1labda kwa kusaidia

  kumekuwa na swala la kuruka ukuta katika baadhi ya shule wakisaidiwa na walinzi wao ikianza na shule ya jangwani!!!nasikitika katika hili nakumbuka nikiwa na gfriend wangu pale she used to do that baati mbaya au nzuri nikaja achana nae!!!tulikuwa tukimpa sh 2000 mlinzi na kwa saa wanauwezo wa kuruka zaidi ya wanafunzi 50..wakiruka ule ukuta wenye chupa ...baadae nikaja kujiuliza hivi kaama anaruka jumatatu najumatano nikimhitaji hizo jumamosi na jumapili niko kazini mpaka usiku si ndio napigiwa jamani!!!ka si kuruka na mgongo wa mpenzi wangu nikakubali yaishe!!!!labda nieleze hasa kwa wale wenye gfriends pale shuleni ama za boarding bila kuomba radhi si wote wenye tabia hizo..mpanzi wangu tuliachana nae siku alipokuja 50cent sitokaa nimsahau huyu mwimbaji kwa kunipa ufunguo !!!!nikiwa naenda kazini nikapigiwa naombwa kufanya kazi kesho yake mpaka jioni hivyo niwe off!!!nikafuraji nikarejea hm..nilipofika hm nikaaka usiku nikampigia mpenzi wangu akasema nakula buku!!nikamtania hata haiwezekani!!!hata 50cent twende jamani...hapaaaaaaaaannnnnnnnn a kwa sauti ya kubana ...nikaaka kimya nikamwambia mi niko job nilikuwa nakutania akasema hata mie najua siwezi kwenda uko bila mpenzi wangu..saa tano nikapiga simu aipokelewi nikawasha gari !!!mpaka shugulini nafikiri huyo mama mia akuadithia watu wanapochana na makofi na wanawake zao si wanapenda.....nikazima simu nkaka seehemu za nyuma nikawakuta wako kwenye group na friends na wanaume ...wangu alikuwa ameshikwa na katoto kadogo cha kiume maskini kiuno changu kile ndicho nilichosema mwishoni!!!!!!nikamfwata nkamwambia ahsante ubarikiwe na kuondoka!!!toka hapo sikupokea wala kupiga simu zake!!!!so hawa watoto ni hatari hivi sasa nikueleze haya mambo hayaishi

  kuna vitoto vinajiita vitoto vya kova

  na vingine shemeji zake kova

  hawa wako pale las vegas!!!jamni vidoo na miaka 15----20..hawa wanajiita watoto wa kova

  21----50 hawa mashemeji wake kova !!!!y?????samahani mh kova..hawa jamaa zako wa kwenye defrndr ndio wanaokuzalilisha wkaiwakamata hawa watoto wanaondoka nao na baya zaidi wana tembea nao wakiwa ndani ya gari ama wanawapeleka guest house sinza!!!!na hawa mashemeji wanakula na vingunge wakikamatwa wanapotishiwa au kuombwa na polisi wa defender wanapigiwa simu wanaachiwa!!!kma huamini nenda usiku pale afrika sana ,,na hapo las vegas!!!!!!kama askari wanawachafua sisi tutawaelekeza kweli !!!!!!\\

  dadazanguni na kaka zanguni tuache umalaya tena narudia tuachane na umalaya

  kumradhi mod
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Anza wewe......
   
 9. tetere

  tetere JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2008
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 962
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  nadhani wanaume ndio haswa tunatakiwa kuwa wenye msimamo wa kutotaka ngono holela. Tuanakufa na tutakufa sana kama tatakuwa tunakuwa watu wa kulaumu wengine. Nadhani kuwa tunapaswa kukemea sio kwa kupiga kelele, bali kwa kugomea ngono. Tatizo ni kuwa ngono inatendeka sirini. Na mteja siku zote ni mwanaume/mwanamke mwenzako. Tatizo hili la umalaya sio la kistaarabu, na haliwezi kuondolewa kwa njia za kistaarabu. Tatizo la kihuni lazima liondolewe kwa njia za kihuni, sasa ni juu yetu tuamue njia gani hizo!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  mkuu yoyoyo nimeshaanza sikuwa naweza kueleza dhambi kama hizi bila kuziacha kwanza
  #8 Yesterday, 08:53 PM
  Yo Yo
  Yo Yo is WEWE
  JF Senior Expert Member Join Date: Sat May 2008
  Posts: 690
  Rep Power: 22

  Thanks: 567
  Thanked 215 Times in 160 Posts
  Credits: 14,152

  Re: Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana??????

  --------------------------------------------------------------------------------

  Quote:
  Quote:
  Originally Posted by Pdidy
  nitakupa mfano wale wanfunzi wa jangwani secondary ukifika saa tano utakuta wanaruka ukuta na kanga na kusaidiwa na walinzi huu umalaya auishi labda walinzi wanapewa kamchezo nao

  Wewe ndio ulikuwa unamtorosha demu wako na kumpa mlinzi 2000......

  Quote:
  mungu uwabadilishe
   
 11. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huu ndio mshahara wa kukabidhi tamthiliya na video zitulelee watoto wetu, kuna mambo mengi tu wanayoangalia na kuiga watoto wetu kutoka kwenye hizo screen tulizoweka sebuleni kwetu ambayo huko yanakotoka yako rated as not suitable for under 18 na wazazi wenye akili huko developed countries hawaruhusu watoto wao under age kutizama...lakini sisi aaahh...tuna kaa nao kwenye sofa tukiangalia bila aibu tena na ka juisi kwa pembeni...halafu baada ya hapo tunawasaidia kupractice...! tunadhani ambazo ziko rated ni zile tu zinazoonyesha ku jamiiana live!!
   
 12. ChocolateColor

  ChocolateColor Member

  #12
  Sep 2, 2008
  Joined: Jul 18, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kizazi cha nyoka jamani kwani hata njiani utakuta binti kavaa nguo imemuacha maumbile yake wazi yaani mi sipendi basi tu sina chakufanya!!!!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  Ukiuliza
  wanataka chocolate colour
   
 14. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..ndio mambo ya kileo hayo!

  ..kila mtu atajijua kivyake na wanawe!
   
 15. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  dawa yake tuweke sharia za kiarabu....hishma itarudi
   
 16. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole sana mama mia. Mimi ni ongeze na mabinti zetu kwenye matamasha mbalimbali ya wanachoita U-miss nk.Hii ni laana kwa taifa letu.Athari zake ziko usoni.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhh gangchomba ukombali

  vizazi vyetu vitaisha wa mapanga ndugu yangu ile sheia waachie wenyewe

  labda tushauri hii ya viboko
   
 18. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  pdiddy tukifunga mkanda matanga yataisha upesi...
  hizo ni salam zangu mjomba.
   
 19. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kwanza mzazi mwenye akili timamu akigongewa na mtoto wake saa tisa usiku kisha akimuuliza ulikuwa wapi binti anajibu kwenye tamasha mzazi wa ukweli hapo ataanza na ngumi, kichwa, mkanda, flampeni, mti wa fagio, kopo la ua NK.
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Turuhusu watoto wetu maisha yao yadhibitiwe na Yesu na hapo kila kitu kitakwenda vizuri.
  Si hivyo kelele hizi hazitakwisha kamwe.
   
Loading...