Wanafunzi kukaa uchi kwenye matamasha ni dhana au laana?

Sio kiivo wakuu.
Mbona mi sikuwaona hao watoto?au ni vile vimini vyenye mpasuo ndio mnaita kukaa uchi?
Haya wa kina Bushmen mtasema wanafanya nini kama hawa dada zetu mnasema wanakaa uchi?
 
Sio kiivo wakuu.
Mbona mi sikuwaona hao watoto?au ni vile vimini vyenye mpasuo ndio mnaita kukaa uchi?
Haya wa kina Bushmen mtasema wanafanya nini kama hawa dada zetu mnasema wanakaa uchi?

kwanza mwanafunzi na hayo mambo ya starehe wapi na wapi ka si umalaya tu? halafu mashule ya seminari yakiongoza kwa kupasi mtaanza minong'ono oooh maparoko wanawanunulia mitihani...
 
Turuhusu watoto wetu maisha yao yadhibitiwe na Yesu na hapo kila kitu kitakwenda vizuri.
Si hivyo kelele hizi hazitakwisha kamwe.

WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU MAANA UFALME WA MBINGUNI NI WAO
 
Originally Posted by amanigk
Sio kiivo wakuu.
Mbona mi sikuwaona hao watoto?au ni vile vimini vyenye mpasuo ndio mnaita kukaa uchi?
Haya wa kina Bushmen mtasema wanafanya nini kama hawa dada zetu mnasema wanakaa uchi?

AMANIKGK

WALIOKUWEPO WENGI TU ILA WENGI AWAKUWEZA KUWAONA MAANA ILIBIDI WAWALINGANISHE NA WAKUBWA KUWEZA KUWAPATA NA KUFANYANAO MAPENZI

WLIKUWEPO KULE NYUMA NA BAYA ZAIDI NA WISH UNGEPEWA HAJA NDOGO AU KUBWA UKAENDA CHOONI KULE NYUMA ;;;;UNGEONA WACHA NGUO KAMA UCHI WATU WALIKUWA UCHI WANAFUNGIWA CYLINDER ZAO ON TYM
 
kuvaa nguo fupi si ishara ya mapenzi wala umalaya .ila anayefikiria mapenzi baada ya kuona nguo fupi ama paja huyo ndio malaya.

Kila kitu kina wakati wake Nguo hizo ndefu zimeletwa na mzungu wala sio tamaduni zetu nitashangaa sana.
Tamaduni zetu ni zile za kuweka kakipande ka ngozi mbele na kuachia Tako nje na paja waziwazi sikuwahi kusikia ma babu zetu waliwakwa na tamaa enzi hizo na kuwaita wanawake wa enzi hizo ni malaya na sidhani waliwakwa na tamaa baada ya kuona takos za mabiti wao.
Huyo anayewakwa na tamaa kwa kuona tu sehemu zinazokaribia huyo ni malaya na kazi yake ni kuchora picha na kutathimini nini kinafuata .
 
Back
Top Bottom