Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

Chacha Neema

Member
Oct 12, 2012
6
12
kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke kwenye second batch. Lakini napenda kuwaatahadharisha huyu mtu hafanyi kazi hapa bodi wala hafahamiki ofisini kwetu, ila aliwahi kufanya kazi kwenye ofisi ya tirdo iliyopo karibu na helsb. Na namba anazotumia ni 0716 28 67 42

na hizi ndo picha zake
 

Attachments

  • 303749_1999361744749_568636214_n.jpg
    303749_1999361744749_568636214_n.jpg
    69 KB · Views: 558
  • 314430_1957282692799_1794018339_n.jpg
    314430_1957282692799_1794018339_n.jpg
    43.4 KB · Views: 474
  • 256709_1726861892423_1048248_o.jpg
    256709_1726861892423_1048248_o.jpg
    37.6 KB · Views: 463
Daah Bhaaaaas! nimeamini coz kuna jamaa wa First Year hapo IFM kila corner wanamzungumzia na kala 250000 za watu kama 10 ni huyu huyu jamaa. wengine wawe makini ndugu zangu matapeli wa siku hizi ukiwaangalia juu juu unaweza usimzanie !
 
Kama kishatapeli wanafunzi na mnamjuwa kwanini msimshitaki polisi, au mnajihami?
 
Tapeli wa kwanza kumuona hajaishia na majina yale yanayotoka mkoa ambao ndio kuna mlima mrefu kuliko yote africa
Au hilo Torani ni la huko?? Wakuu nijulisheni
 
dawa ni kumkamata na kutandika viboko uchi na kumtembeza campus zote alizoiba
 
huyu jamaa alifikiri ni mchezo mzuri kutapeli wanafunzieehh, ama kweli hapo ameloba step. namhurumia maana
wanafunzi watamtoa kishipa... yani afadhali angefanya utapeli sehemu nyingne lakini sio wanafunzi.....tutamkamata tu... dada Neema hebu tupe info zake zaidi ili tumtambulishe sisi wanafunzi ni wa kina nani........
 
huyu jamaa alifikiri ni mchezo mzuri kutapeli wanafunzieehh, ama kweli hapo ameloba step. namhurumia maana
wanafunzi watamtoa kishipa... yani afadhali angefanya utapeli sehemu nyingne lakini sio wanafunzi.....tutamkamata tu... dada Neema hebu tupe info zake zaidi ili tumtambulishe sisi wanafunzi ni wa kina nani........

hurumia na waliotapeliwa mkuu

pesa si mchezo:A S-coffee:
 
Huyu nadhani hata chukua muda atakamatwa na wanafunzi asichukulie shida za watu kukosa mikopo kuwa Ibia Hatimaye kaaibika sasa!
 
hili jamaa linaonyesha ndyo mchezo wake kutapeli kaka... maana naona hilo tambi lake limetokeza juujuu kumbe anakula pesa zisizo na uhalali.............:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom