Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

Kaka piga hela tu mbona wewe mdogo sana?jamani kwani mume sahau kwamba hii ni nchi ya Chukua Chako Mapema?Halafu mbona hamjatuwekea ushahidi mi nahisi majungu tu mna mwonea wivu coz jamaa katusua!
 
Alikuwa Mfanyakazi wa TIRDO kama miezi 4 iliyopita na alikumbwa na mkasa mkubwa wa ubadhirifu wa pesa, baada ya hapo alisimamishwa kazi na mwisho wa siku alitimuliwa kabisa.............. sasa anatimua kigezo na fursa ya kujulikana na walinzi na kisha anawatapeli watu maeneo ya hapa Ofisini, wanafunzi wengi wamekuwa wakitapeliwa na kuliwa pesa zao kiasi kikubwa sana kwani mwanafunzi mmoja Tsh 250,000. mwisho wa siku wakija kuuliza kuhusu huyu bwana hapa Ofisini..... wanabaki na taharuki kwamba si mfanyakazi wa hapa na wala Board haimtambui....tahadhari kubwa natoa kwani malalamiko ni mengi ya aina hii.........
 
dawa ni kumkamata na kutandika viboko uchi na kumtembeza campus zote alizoiba

kungekuwa na sheria inayoruhusu kuchkua sheria mkononi ingekuwa poa sana....
hata polisi na mahakamani au magereza wengine wasingefika... tungemalizana humuhumu mtaani tu
 
Yani leo ndio nasoma habari za huyu mtu nimeshtuka sana.
Na kuna biashara ilikua nifanye nae ila kuna vitu havikua bayana nikasema nitamchunguza kwanza.
Kumbe ni tapeli zaidi ya nilivyowaza.
ahsante jf
 
Yani leo ndio nasoma habari za huyu mtu nimeshtuka sana.
Na kuna biashara ilikua nifanye nae ila kuna vitu havikua bayana nikasema nitamchunguza kwanza.
Kumbe ni tapeli zaidi ya nilivyowaza.
ahsante jf

Kamilisha zoezi tu kiongozi maana waweza kuta hiyo issue ikafanikiwa na kusitokee utapeli unaosemwa kwakuwa pia hatujapata uhakika wa mada iliyotolewa kwasababu kuwa na picha za mtu sio uthibitisho wa kuamini hayo yaliyosemwa. Pia nawe chunguza kwanza kabla ya kuamini moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom