Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Mchumba karudi? Mengine achana nayo
 
Kabisa.Hili jambo ni hatari.
Kuna baadhi ya wanafunzi jana walikutwa wamekaa mahali ili giza liingie ndo waende shuleni...


Aiseeh!, hii ni Harassment..

Kusubiri giza liingie ndo watoke ili wasionekane tayari wamesha athirika kiakili.
Wameshapandikizwa Uoga, as a result, Ujasiri umepungua. Haitakuwa ajabu baadhi yao wakaomba kuhamishwa shule kwa Uoga.
Kitu ambacho kitawarudisha nyuma kwa kiasi.
 
Nakazia
 
Muunganiko wa azajangwa aisee..ukiwa huna akili utageuzwa bazoka hadi akili ikukae sawa
 
Kufeli kwa jangwani ni uzembe wa mkuu wa shule aliwaachia sana advance pale hostel watoto wanaishi kama wako university! Mpaka wajiuliza wanatoka mda wote,wanashika simu muda wote,simu hawakatazwi yaani tafrani tupu!
 
Kwenye maadili naunga mkono..Jangwani ya sasa iko ovyo sana kimaadili..
 
Hata kama wamefanya vibaya mbele za watu, wao sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Si vizuri Jamii kuwahukumu kwa kuwazomea hivi, badala yake kuwasaidia.

Two wrongs don't make a right.
 
Mi naona wanasitahili kabisa kuzomewa, tena wazomewe na kila mtanzania.
 
Hata kama wamefanya vibaya mbele za watu, wao sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Si vizuri Jamii kuwahukumu kwa kuwazomea hivi, badala yake kuwasaidia.

Two wrongs don't make a right.
Kweli kabisaa vile kuwazomea inawaumiza sana kisaikolojia...mbona Azania hawakua wanawazomea!
 
Siku zote walioshindwa ndio hucheka wenzao wanaposhindwa..
Watu wenyew wanaowazomea wanafunzi ni bodaboda ambao wao nao walifeli hakuna haja ya kuumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…