Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Pale mambo yanapornda vibaya si dhambi kuzomelewa! Na pale yanapienda vema si dhambi kupongeza!

Hiyo ndio asili ya tabia ya mwanadamu!

Yatapita tu hayo yanayoendea sasa. La msingi waweke bidii katika masomo ili mwakati washangiliwe na si kuzomewa tena!
Mkuu umeongea kihekima mno. Ningekuwa Tz ningekupa ofa ya mihogo,karanga na maziwa.
Ubarikiwe
 
Sio sawa.Ni kosa
hupendi changamoto grace.
kuzomewa ni process ya maisha,usimchagulie mkosoaji wako njia za kukukosoa,mbona wanaposhangilia huchagui?
Ndio mana watu wanalipa kiingilio mpirani kushangilia,ukiwaangusha wanazomea
 
Tunazidi kusogea kuwa Taifa la chuki,visasi ,vitisho na tunaanza kuamini kuwa ufumbuzi wa tatizo lolota ni vitisho time will tell tumepanda mbegu ya chuki,tunaimwagilia na tutegemee nini tutavuna(were turning to be a violence National).
 
Hivi unapowambia waache umalaya unamaana hawa wanafunzi wanapiga punyeto, kama sio basi tusilaumu wao tuwalaumu wanao wafuata na kuwatongoza
Ukimsalimia msichana akikunyamazie mara tatu.
Utarudia tena?
Mimi msichana akisema hanitaki badi nalala mbele
 
waliofeli kwani bado wanaendelea kwenda shule?.hao wazomeaji nao hawana akili
Yani.Hapo ndo wanaposhangaa hata hao wanafunzi.
Wanazomewa wakati waliofeli wapo kimyaaa wanakunywa Tangawizi.
(But point yako inanikumbusha mbali sana.
Enzi hizo nasoma(siku hizi nimezeka Si unajua Kigagula)
Basi,
Nilikuwa Na Rafiki angu aitwae Grace(kama jina fake langu hapo juu?
Mimi Na yeye ni marafiki.Lakini kichwani tofauti.
Ilikuwa shule ya kufaulu but Si unajua kuna wale wanaofaulu mpaka wao wanashangaa wamef aulujefaauluje...!
Basi sasa ndo alikuwa huyo Rafiki angu Giresii.
Yeye kuwa wa mwisho sijui wa Pili kwa umwisho ilikuwa kwake kawaida Na hajari kitu.
Baba ake alikuwa tajiri mchimba madini,Binti mrembo.Pesa ipo sasa ajishuhulishe Na masomo ili iweje.

Basi.Shule yetu ilikuwa Na utaratibu siku ya kutangazwa matokeo kwa shule nzima
Nakusanyika wooote.

Wa kwanza mpaka wa 5,Wanatajwa Na Zawadi.

Wa Mwisho karudi nyuma nayo watano.

Cha ajabu jina la rafiki angu lilipotajwa kawa wa mwisho kasoro watu wawili watu walinigeukia mimi Na Kunizomea

Sio keba walikosea hapana(kwa kuwa nilikuwa kiongozi Na najulikana sana sana)

Nilijua wanazomea kama ujumbe why naongozana Na MTU anayefeli ka siku.

But urafiki wetu ulitokea kinature tu.(Automatically)

Sasa nilitegemea baada ha Mimi kuzomewa huyo Grace angenitafuta Na kuniomba msamaha kwa niaba but aliponiona naye Alianza kucheka kucheka sana.

Nikamuuliza kwa nini sasa naye anacheka nikidhania angepata huzuni kama binadamu yeye alicheka tu..
Mpaka Leo huwa najiuliza kama Rafiki angu huyu alijua anachofanya.

Though tunakaa mikoa tofauti sasa but Urafiki wetu haujawai kuisha.

That was Grace !!

Sasa yumkini wanaozomewa wana maana Taarifa zitawafikia Dada zao but in Wrong way.
 
hupendi changamoto grace.
kuzomewa ni process ya maisha,usimchagulie mkosoaji wako njia za kukukosoa,mbona wanaposhangilia huchagui?
Ndio mana watu wanalipa kiingilio mpirani kushangilia,ukiwaangusha wanazomea
Kumbuka hapa tunaongelea Saikolojia ya watoto.
Believe me or not
Hata wanaowafuata watoto chini ya miaka 18,Na kuwatongoza wanakoseaa sana.
Akili ya Mtoto wa kike ni tofauti Na wa kiume.

Au wajinyonge ndo tuanze kulaumiana.

Sasa wanawazomea hao ndo waliofeli??
 
Tunazidi kusogea kuwa Taifa la chuki,visasi ,vitisho na tunaanza kuamini kuwa ufumbuzi wa tatizo lolota ni vitisho time will tell tumepanda mbegu ya chuki,tunaimwagilia na tutegemee nini tutavuna(were turning to be a violence National).
Kabisa kabisa.
Hali hii inatisha Na tusipopaza sauti kukemea basi.Tutakuja jutaaa!

Na majuto ni mjukuu.
 
Toka nifanye group sex na warembo wajagwani nimekubali kuna shule zina wahuni
 
Back
Top Bottom