Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Sijui waliwezaje kufundisha ili darasa...View attachment 2499192

Siyo kwamba hawana akili Ila umaskini ni kitu kibaya sana kuna watoto kwenda tu shule wanatembea klm 7-9 bado safari ya kurudi na akifika nyumban kuchota maji na kaz kibao asubuhi safari ya shule iko palepale akifika darasan ni kulala tu kichwa hainasi kitu kwanza na shule yenyewe anaichukia.

Angalau wazaz wenye uwezo huwa wanawawekea watoto wao mazingira mazuri ya kusoma kazi kubwa ya mtoto inakua ni kijisomea tu na kwenda tuition mbalimbali, wengne wanafatwa na gari mlangoni, huwez kulinganisha matokeo yake na mtoto wa maskin ambae anasoma mazingira magumu
 
Certificate ya ualimu ilee, hivi jeshi na magereza vigezo vya kujiunga ni div ngapi
 
Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..
Kuna uhusiano gani Kati ya kuelemika na div 0 ama 1?

Je wajua ukipima iQ level zao unaeza kuta mwenye div 0 anayo kubwa tu


Kufaulu mtihani Ni kukumbuka ulichosoma na kikatoka ,, ukisoma kitu na kisitoke huwezi faulu kwa hio aliefeli sio kwamba Hana akili anaweza amua tu asiwe serious na maisha we unaonekana umetoka familia masikini Sana unaambiwa kasome ufaulu uje usaidie wadogo zako😂😂 wenge walipelekwa shule na range autobiography pesa ambayo ukoo wenu unakuta hawajawahi shika acha ku kremu wewe
 
Twende huko nchi za Scandinavians tuwape consultancy waje wauchambue mfumo wetu wa elimu, matatizo na changamoto zake and then watuandalie mfumo mpya unaoweza kuendana na mazingira yetu. Hawa jamaa wako vizuri mnoo kwenye elimu, tusione aibu jamani sisi wenyewe tumeshashibdwa.
Lilishafanyika na kujadiliwa likaonekana ni jambo kubwa mno na lenye faida na hasara kwa pande zote... mbali na hapo nafkiri waliona budget yake ni nzito na litafumua mfumo mzima. Hata wao wenyewe wataonekana empty nafkiri Wakaona waache au waliweke pending.

Wakutengenezee mfumo ili uwe sawa na watoto wao Kielimu?! Hahaha! Tafakari afsa
 
Twende huko nchi za Scandinavians tuwape consultancy waje wauchambue mfumo wetu wa elimu, matatizo na changamoto zake and then watuandalie mfumo mpya unaoweza kuendana na mazingira yetu. Hawa jamaa wako vizuri mnoo kwenye elimu, tusione aibu jamani sisi wenyewe tumeshashibdwa.
Mkuu hata hao so called viongozi wanakuja semina zisizoisha ila hawaelewi kitu

Akili hata ya kuwaza simple things hawana wataweza kubadilika

Wanaenda ulaya kununua suit tu

Mfumo wa elimu yetu ni mbovu sana wenzetu Ulaya watoto wa miaka 3 wanafunzwa mpaka namna ya kukatisha barabarani na sio a e I o u tu

Watoto wanakuwa wabunifu wakiwa form 6 wanatengeneza madawa

Sasa sisi Uni unamkuta waziri hawezi kujibu hoja mwisho anakufunga ukimuuliza swali

Tuache tu
 
Wengi tumepata zero na div 4 kwasababu nyingi mfano
1.umaskini plus na stress za familia

2. Kutoka form one hadi form four shule nzima ina walimu wawili,mwalimu mkuu na msaidizi wake plus miundombinu ya kujifunzia mibovu sana.
3.shule zipo mbali na makazi ya wanafunzi.
4.sera na usimamizi mbovu za elimu kiujumla wale wa 2012 wanajua.
 
Mbona waliyohitimu veta wengi wao wanajuwa kukabiliana na hali ya mtaani,kuliko mwanafunzi ametoka udsm hana skills yoyote

Ova
Hawa wanafynzi wa vyuo asilimia kubwa wanafaulu kwa kukariri, utaskia wanajifu
"Elimu ya udsm ngumu Sana"
Kumbe eimu yenyewe ya kujazia notes,vitini na vitabu kibao, practice&skills Ni sifuri
 
ni nzuri sana , wakipata zero hao wanakuja kuwa wafanyabishara wakubwa na wakulima , hawa wajinga waliopata division three na one hawa wanaenda kuwa na wakati mgumu sana siku za hapo badae
Asilimia kubwa Matokea ya necta huwavimbisha Sana vichwa mitaani
 
Mfumo wetu wa elimu ya Primary na sekondari uangaliewe upya.

Huu mfumo haumsaidii mwanafunzi akaweza kujitegemea. Unatengeneza kundi kubwa la wasaka ajira. Ni bora sekondari mfumo wake uwe wa kujifunza zaidi stadi za kazi ili mwanafunzi anapomaliza form 4 awe anaweza kujiajirika, kujiajiri au niseme kujitegemea.

Sasa hapo mtu kapoteza miaka 4 na hana ujizi wowote kichwani. Nikupotezeana muda.

O'level zote zibadilishwe ziwe kama VETA na msisitizo uwe kwenye kujifunza stadi za kazi
Hii kitu nmeipigia Sana kelele Basi TU
 
Aim ya Hayati baba wa taifa haikuwa hii ila siku hizi VETA ndo kimbilio la waliofeli shule
VETA ndio pagumu zaidi kuliko secondary hipo hivi kule kuna masomo saba

English
Life skills
Marth
Engineering science
Entrepreneurship
Computer
Technical Drawing

Hayo masomo hukifahuru yote una enda level 3 ukifahuru tena una enda diploma haya masomo ni kama yale ya science ya secondary utacho ambulia ni ujuzi tu labda ujitambue ujitume hili uwende mbali zaidi
 
Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..
Miaka 20 ijayo tutapata majibu ya hizi elimu bure.
Miaka hiyo miji itajijenga sana, boda boda zitajiondoa zenyewe.
Ujambazi utaongezeka
 
Wengi tumepata zero na div 4 kwasababu nyingi mfano
1.umaskini plus na stress za familia

2. Kutoka form one hadi form four shule nzima ina walimu wawili,mwalimu mkuu na msaidizi wake plus miundombinu ya kujifunzia mibovu sana.
3.shule zipo mbali na makazi ya wanafunzi.
4.sera na usimamizi mbovu za elimu kiujumla wale wa 2012 wanajua.
Wewe umeongea ukweli kabisa!

Ongeza na sababu ingine"Kupigwa vita" hili nimelishuhudia kabisa... mtoto anaonewa wivu anaonekana wazi ni hotcake baadae atafanikiwa anaanza kurogwa, kupigwa vita, kusemwa vibaya ilimradi wamvuruge tu aharibikiwe wamcheke baadae.
 
Mungu ana maguvu sana! Pia nafkiri hawa wanaopataga division four za 26-27 waangaliwe kwa jicho la tatu kabla hata hawajatoa hayo matokeo yao... wanaonesha wazi wana uwezo ila huenda sababu fulani fulani ziliwayumbisha. Hasa wale wenye points "26"
Yeah mkuu Kuna watu wanao uwezo wanao mazingira sometime yanawafifisha

Japo Kuna wengine wanaweza tusua hata kama mazingira sio rafiki.
 
Unaonekana ulifeli shule wewe.. maana huna lolote unaloongea bali ni kutetea wanaofanya mchezo na shule. Nani alikwambia kuna michujo shule za namna hiyo ambazo zinazalisha Zero nyingi?! Ukianza utamaliza tu! Na ndo matokeo yake hayo...

Usitetee ujinga tunazalisha Taifa la vijana wajinga KWELIKWELI! na kaa usome tena sikuongea kuwaponda na kuwavunja moyo ambao hawakufanya vizuri shuleni.
Hao wanao faulu wanafaulu katika mfumo upi wa elimu? Zaidi ya asilimia 500 kuongoja kuajiriwa wana kingine cha maaana? Mtaani kuna Bodaboda wana Degree zao nzuri tu unawazungumziaje na walifaulu vi,zuri sana kidato cha nne na sita
 
Back
Top Bottom