Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,666
- 7,111
Nafahamu vizuri kiongozi... na huko vilaza wamejaa. Wana mtihani wao wanaufanyaga December ni shida! Mpaka wengine wananunua mitihani ya NABE. Wenyewe wanaita NABE maana wako chini ya TCU na hakunaga anayefaulu matokeo yake wengi wanarudi kitaa au wanakuwa seremala, washonaji au wachomeleaji Vyuma... sasa mtu alishindwa Physics na hesabu eti akasome fani ya umene VETA aajiriwe tanesco. Kumbuka hiyo fani ya UMEME imejaa Physics na hesabu tu 😔😔😔VETA ndio pagumu zaidi kuliko secondary hipo hivi kule kuna masomo saba
English
Life skills
Marth
Engineering science
Entrepreneurship
Computer
Technical Drawing
Hayo masomo hukifahuru yote una enda level 3 ukifahuru tena una enda diploma haya masomo ni kama yale ya science ya secondary utacho ambulia ni ujuzi tu labda ujitambue ujitume hili uwende mbali zaidi
Ooohh! TANZANIA yangu weeee unakwenda wapi?! 🥺😔😔😔😔
