Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Mdogo wangu KIDUME20 hebu ongea na huyo jamaa hapo 😅😅😅 anajiita Bob sambeke

Anaonekana design kama Psycho kidogo 🤔

Maana tunaongea mambo kwenye level tofauti ya fikra, uelewa na uchambuzi wa mambo yeye anakimbilia kukurupuka na kutukana watu asiowajua 😅... ndomana nilimuuliza amekula?! Wengine wanakuja kutukana watu huku wanatumia WI-FI za hoteli au Hotspot za washkaji alafu wanakuja kutuvimbia humu 😊
 
Mimi nani nipinge? Msomi wa TZ hatakiwi kutamba kwa lolote mbele ya asiyesoma kwa sababu hana impact in real sense kwa jamii na maendeleo ya jamii kiuchumi, kiteknolojia n.k!

Tuna kazi kubwa mno ya kufumua fumua haya mamifumo na kuyasuka upya.

Jiulize why tunalalamika uhaba wa maji na mazao at some moments, while tuna SUA? Wataalam wanafanya kazi gani?

Hujiulizi ni research gani iliyofanywa na UD ikaleta matokeo at large scale in real life countrywise?

Nchi hii naweza kusema We aren't serious in majority of all sensitive things!

Yaani madangi madangi karibu kwenye kila nyanja muhimu
Na wasomi wenyewe uko sua na udsm wanafundishwa na kina lipumba
 
Mdogo wangu KIDUME20 hebu ongea na huyo jamaa hapo 😅😅😅 anajiita Bob sambeke

Anaonekana design kama Psycho kidogo 🤔

Maana tunaongea mambo kwenye level tofauti ya fikra, uelewa na uchambuzi wa mambo yeye anakimbilia kukurupuka na kutukana watu asiowajua 😅... ndomana nilimuuliza amekula?! Wengine wanakuja kutukana watu huku wanatumia WI-FI za hoteli au Hotspot za washkaji alafu wanakuja kutuvimbia humu 😊
Where is tusi there unatafuta huruma😁 Pole Sana wewe ndo ulipata div ngap vile

Je unatakiwa uwe na div ngap ili usifunguliwe hotspot

Huna unachojua wewe

Wewe wenyewe Ni hohehahe Yani jua ndo linazama hivo
 
Mdogo wangu KIDUME20 hebu ongea na huyo jamaa hapo 😅😅😅 anajiita Bob sambeke

Anaonekana design kama Psycho kidogo 🤔

Maana tunaongea mambo kwenye level tofauti ya fikra, uelewa na uchambuzi wa mambo yeye anakimbilia kukurupuka na kutukana watu asiowajua 😅... ndomana nilimuuliza amekula?! Wengine wanakuja kutukana watu huku wanatumia WI-FI za hoteli au Hotspot za washkaji alafu wanakuja kutuvimbia humu 😊
We acha na childish men mkuu

Thinking capacity kama ya dogo wa la 5 unategemea nn sasa

Mwache aropoke tu maisha yatamfunza sio kila aliyeikimbia elimu ametoboa mi nina ndugu wanalia na kusaga meno kisa walipelekwa shule wakagoma

Heri nusu shari kuliko shari nzima
 
Hao ndugu zako ndo taifa zima ,, ovyo kabisa
 
Bro basi amini unachoamini mi sikulazimishi maisha ni kuchagua hunijui sikujui chagua fungu lako 😒
Usimjibu huyo. Ana Frustration ya maisha. Ndo wale wenye kumiliki ID zaidi ya moja... zingine za kuombea watu pesa kwenye PM wakijifanya wanawake tena wenye shida sana! Huyu jamaa nimemsoma kidogo namuona atakuwa CHIZI kidogo si bure 🙂
 
Sasa mnalazimisha Nini😁 aliepata zero muache hujachangia ada unawashwa Nini em kitulize wewe chagua njia yako acha kutuaminisha ujinga
Bro basi amini unachoamini mi sikulazimishi maisha ni kuchagua hunijui sikujui chagua fungu lako 😒
 
Maisha ni fomula sio Division na Kupata ziro sio kuwa na ziro maishani.
Unaweza ukawa na 1 mtaani ukaliftiwa na 0.

Akili mkichwa, division 0 ana alternative! 🙌

Wote wakifaulu mjini tutakosa mboga.
Ukitaka mambo yaende fanya kazi na ambaye hajasoma, kwani
wasomi wengi akili yao imelala, ni wavivu wa kujitoa. 🙌
Hizo kazi za kufanya nao hao ambao hawajasoma labda Ni bodaboda(sijadharau maana najua Kuna Bodaboda wenye mpk masters), ukiwa na biashara kumfanya messenger etc.In short kazi za dizaini hio
 
Usiingize Ujinga kwenye Discussion zenye mantiki. Huyo Diamond wako ana secret zake zilizomfanya afike pale... usipende kudanganyika na kuhadaika na mafanikio ya watu usiowajua kiundani. Fikiri kama mwanaume mwenye akili timamu. Shauri yako!

Kina Diamond wako wangapi halafu aangalie group hilo la 0 na 4 walivyo wengi halafu umpate Diamond mmoja…
 
Back
Top Bottom