Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Ukichukua asilimia ya kutoa wakati umeferi ni ndogo mno, bahati haipo kwa wote
 
ni nzuri sana , wakipata zero hao wanakuja kuwa wafanyabishara wakubwa na wakulima , hawa wajinga waliopata division three na one hawa wanaenda kuwa na wakati mgumu sana siku za hapo badae
Kwa mtazamo wàko , vijana wote Sasa wapate four na ziro Ili wawe wafanyq iashara wakubwa
 
Walioferi waende veta, veta ya zamani sio ya leo, zamani walikuwa wanachukua la Saba au ziro kwa fani yoyote tu,siku hizi ujenzi, na seremala cherehani ndio la saba kwa kozi ya miaka miwili, mtu aliyetoka veta Kama anavyeti vya seco anaweza kupata ajira tanesco, idara ya maji, temesa nk na ofisi nyingi binafsi na serikalini, na veta siku hizi Kuna baadhi ya fani lazima kuwe cheti Cha seco , labda short koz kwa fani yoyote sio lazima uwe na Chet Cha seco,.
 
Yaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aiseeView attachment 2499069View attachment 2499070
Mkuu
Wanarudi mtaani na hakuna anayewakumbuka. Si wabunge wao, madiwani wala viongozi wa mitaa.

Hakuna programu yeyote kwao ndugu yangu.

CCM inapata ongezeko la wapigakura wasioweza kuchanganua mbivu na mbichi.

Hawa vijana wanahitaji kuhurumiwa na Taifa maana ni watanzania na wanayo haki ya kupata elimu hata kama siyo mfumo rasmi.

Hawa watakuja kuwa wazazi huko mbeleni. Wanaandaliwaje pia kuwa viongozi?
 
Kwani miaka ya nyuma walikuwa wanaenda wapi?
Kufeli masomo sio kufeli maisha bado wana nafasi ya kujipigania
 
Dah umeandika Kwa hisia sana
 
Kwani miaka ya nyuma walikuwa wanaenda wapi?
Kufeli masomo sio kufeli maisha bado wana nafasi ya kujipigania
Marcy me street of my arteries veins of my existence I'm the dude from hustling
 
Dah umeandika Kwa hisia sana
Waliua mwalimu juzi kati hao machaliii.
Yaani ni wahuni...nikisema wahuni siwezi kuwagrade ukanielewa lakin wnaa uhuni ule wa mob hivi wakikaa wote ni hatarii...
Nahisi pamoja na sababu nyingine za kufel kwao lakin walimu wana wakati mgumu sana kudeal na hao watoto wa temeke
 
Hizo kazi za kufanya nao hao ambao hawajasoma labda Ni bodaboda(sijadharau maana najua Kuna Bodaboda wenye mpk masters), ukiwa na biashara kumfanya messenger etc.In short kazi za dizaini hio
Ukiwaelekeza au wakikaa na mtu anayefanya kazi yeyote huwa wanaadapt. Tatizo la msomi anafikiria sana, na anahofu ya kupata hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…