Wanafunzi 875 warundikwa form IV 2015 St.Mathew Secondary

Wanafunzi 875 warundikwa form IV 2015 St.Mathew Secondary

Ni kama Ilivyo kwa Marian Girls ama St. Francis, wao huchukua wanafunzi 92 tu kwa mwaka kwa darasa moja, lenye mikondo miwili ya wanafunzi 46 kila mkondo. Hawana njaa. Sasa imagine, watoto karibia 4000 hufanyiwa usaili, na huchukuliwa wenye high performance 92, unadhani kuna kupata 0 hapo? St. Matthew ya mtoa mada naijua sana, mtoto wa kaka yangu niliemlea mwenyewe kamaliza pale 2014 A level, ni kweli wanafunzi ni wengia sana. Nyingi ya shule hizi za private huangalia quantity na si quality ya products zao.
Feza boys and girls ndo funga kazi. Wanafunzi 25 students per class.
 
Shule ya Nshomile hiyo. Anatamaa sana. Kaanzisha na st. Mark pia zote Jirani. Ndiyo maana walikuwa wezi wa mitihani kuwahadhaa wazazi. Mnakumbuka shule ilushafungiwa hii? Wanafunzi wakalazimika kurudia mitihani kwa mwaka unaofuata. Ni jipu. Ndalichako Mulika.
 
Shule kama Canossa ambayo always ni top ten na mwaka 2015 form best student pale huwezi kukutana na kadhia hii. Wakaguzi vwa shule siku hizi wanafanya nini?
 
Kwa ulichoandika hapa hakuna hoja hata moja ila kuna majungu kama sita vile,private schools ni biashara kama vile mgahawa nk,kwa mmiliki kuwa na watoto wengi ni faida kwake.
Biashara pia ina miongozo yke,, huwezi kufanya biashara kiholela hivyo,,

Biashara hatuangalii Quantity tu bali pia tunazingatia na Quality ya product unayozalisha,, sasa watoto 875 kati ya hao watoto 360 wote ni Div. 1V hapo hujagusia Div 0.
 
~~~>>Kuna moja ipo Moshi..... Inaitwa Majengo... Form IV mwaka huu wapo zaidi ya 2000....... Hii ni hatari Sana.
 
Mhhh hii shule kama naikumbuka vile...iko somewhere mbagala
Iko Kongowe, mkoa wa Pwani. Ni mbele sana ya Mbagala, ukishavuka lile bonde baada ya kupita rangitatu.
 
Sijakuelewa vzr mkuu, kwamba niwasiliane nao juu ya nini wakati tayari matokeo yalisha toka na watoto wetu walichopata ndicho hicho, zaidi nilikuwa nataka kuwakumbusha wazazi wenzangu umuhimu wa kuzichunguza hizi shule kabla ya kupeleka watoto wetu huko, tusifuate matangazo yao ya kwenye Radio Tumaini, Quality ya elimu inayo tolewa si sawa na ile inayotangazwa ktk Radio Tumaini. Hata ungekuwa wew mwalimu wanafunzi 875 unafuatiliaje maendeleo yao kwa idadi hiyo kwa kila mwanafunzi?
Umeeleweka. Nilimaanisha kwamba, sometimes ni vizuri kujadili mada kama hizi kwenye vikao vya wazazi na bodi ya shule.
 
Kama kuna mzazi anasoma uzi huu na amempeleka mtoto wake hapo na yuko boarding tafadhali atafute maarifa ya kumtoa wamejazana watoto Sio kawaida msongamano wao na huduma za vyoo Ni tofauti wanaweza kupata maradhi mengi Sana na wanatibiwa kisanii kabisa
 
Kuna kipindi (2013) palikuwa na kunguni sana mabwenini (kwa mujibu wa wanetu wanafunzi), wazazi tukalazimika kuagiza mkuu wa shule atatue kadhia ile kabla shule hazijafunguliwa. Ilikuwa hali mbaya sana kwa kweli. Ilisikitisha mnoo.
 
Umewasiliana nao wahusika na kuwajulisha kero hii? Naamini unaumia kama mzazi, lkn ni bira ungeanza nao wao kwanza

Mtembei utamshauri au kumlalamikia nini akusikilize? Atakujibu kama una akili kaanzishe shule na wewe. Jamaa ni arrogant sana labda siku hizi kapungua nyodo kwa sababu ya afya mgogoro. Shule zake zote ni utumbo siku hizi; angalia St. Marks ya Kongowe, Victory ya Mwandege na Ujenzi ya Mkuranga. Anachojali tu ni fedha ya mzazi, kama ni kupigwa tumeshapigwa! Ni maumivu kwa wazazi wengi!
 
unaongelea hile St.Matthews ya Mtembei yule mzee tapeli na mwenye dharau na nyodo hata kwa waliomfanya apate uo utajiri wake.

mwaka 2003 walifutiwa matokeo kwasababu ya wizi wa mitihani na ubabahishaji mwingi maana yule tapeli alinunua magari spesho kama hongo kwa wasimamizi wa mitihani katika hiyo shule yake
ilifikia kipindi walimu wasimamizi walikuwa wanagombea kupangiwa icho kituo ili waondoke na magari ya bure
Pengine nyodo zimepungua, jamaa alipigwa stroke aka-paralyse!
 
Mtembei utamshauri au kumlalamikia nini akusikilize? Atakujibu kama una akili kaanzishe shule na wewe. Jamaa ni arrogant sana labda siku hizi kapungua nyodo kwa sababu ya afya mgogoro. Shule zake zote ni utumbo siku hizi; angalia St. Marks ya Kongowe, Victory ya Mwandege na Ujenzi ya Mkuranga. Anachojali tu ni fedha ya mzazi, kama ni kupigwa tumeshapigwa! Ni maumivu kwa wazazi wengi!
Umenena kaka. Wewe nakusikia ni mtu wa tatu. Nashukuru mwanangu alishamaliza pale 2014, A level
 
Naona ni wivu wa kike unawasumbua mnaoponda hii shule.kama mnaona mazingira hamjayapenda kupeleja watoto wenu basi muwahamishe sio mnajitia wajuaji kuleta mada za kipuuzi uku.ivi mnajua kwamba anamiundo mbinu na walimu wa kutosha pale kuweka hata watoto 10000!!tuwe makini kabla ya kuanza kuchafua biashara za watu.tupo ktk dunia ya soko huria.hulazimishwi kupeleka watoto wako pale.hujashikiwa kisu.mimi nijuavyo ni moja kati ya shule bora hapa nchini.amini usiamini.hayo matatizo mengine yapo kila kona na yanataturika taratibu .
 
Kama kuna ubovu tusihoji? Hatosomeshi bure wanetu pale, tunalipa. Kama tunalipa tunahitaji kupata return on investment. Hilo lazima liongelewe. Kama unahusika na shule mjirekebishe, sio kubisha taarifa za kuwataka muboreshe huduma.
 
Naona ni wivu wa kike unawasumbua mnaoponda hii shule.kama mnaona mazingira hamjayapenda kupeleja watoto wenu basi muwahamishe sio mnajitia wajuaji kuleta mada za kipuuzi uku.ivi mnajua kwamba anamiundo mbinu na walimu wa kutosha pale kuweka hata watoto 10000!!tuwe makini kabla ya kuanza kuchafua biashara za watu.tupo ktk dunia ya soko huria.hulazimishwi kupeleka watoto wako pale.hujashikiwa kisu.mimi nijuavyo ni moja kati ya shule bora hapa nchini.amini usiamini.hayo matatizo mengine yapo kila kona na yanataturika taratibu .
Wew kama una hisa hapo shuleni usitake kutuziba midomo, hivi unajua tumeumia kiasi gani wazazi kwa uzembe wenu wa kujali pesa bila kutimiza wajibu wenu vizuri,

Eti anamiundo mbinu ya kuweza kuweka hata watoto 10,000 hivi sisi tunataka sehemu ya kuwekwa watoto wetu ama sehemu ya kufundishia wanetu.Tunaleta watoto mfundishe sio kuwarundika mabwenini na madarasani kwenu, unafundishaje watoto 875 kwa darasa moja la form 4, kila somo una wanawaalimu wangapi, hao waalimu wanafuatiliaje maendeleo ya watoto wetu. Usikute mwalimu huyo huyo wa somo moja ana vipindi hata kwa madarasa mengine kama form 1,2,3,4,5na 6.
Nyie mlistahili kushtakiwa kabisa mmetutia hasara kubwa na kuharibu future ya watoto wetu kwa tamaa yenu ya fedha.,Nchi nyingine nyie ni wa kufungiwa kabisa watoto 875 vipi wawe wote form 4 ?
 
Naona ni wivu wa kike unawasumbua mnaoponda hii shule.kama mnaona mazingira hamjayapenda kupeleja watoto wenu basi muwahamishe sio mnajitia wajuaji kuleta mada za kipuuzi uku.ivi mnajua kwamba anamiundo mbinu na walimu wa kutosha pale kuweka hata watoto 10000!!tuwe makini kabla ya kuanza kuchafua biashara za watu.tupo ktk dunia ya soko huria.hulazimishwi kupeleka watoto wako pale.hujashikiwa kisu.mimi nijuavyo ni moja kati ya shule bora hapa nchini.amini usiamini.hayo matatizo mengine yapo kila kona na yanataturika taratibu .
naona povu linakutoka tu au na wewe ulipata hile safari ya Dubai na kilaptop....acheni ubabaishaji na uwe unakubali kukosolewa hili ujirekebishe
vipi wizi wa mitihani mmeacha?
 
Shule kama Canossa ambayo always ni top ten na mwaka 2015 form best student pale huwezi kukutana na kadhia hii. Wakaguzi vwa shule siku hizi wanafanya nini?
hawa wakaguzi wa shule nao sasa hivi ni MAJIPU, yanafaa kutumbuliwa pale Wizarani.
 
Back
Top Bottom