BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Naona ni wivu wa kike unawasumbua mnaoponda hii shule.kama mnaona mazingira hamjayapenda kupeleja watoto wenu basi muwahamishe sio mnajitia wajuaji kuleta mada za kipuuzi uku.ivi mnajua kwamba anamiundo mbinu na walimu wa kutosha pale kuweka hata watoto 10000!!tuwe makini kabla ya kuanza kuchafua biashara za watu.tupo ktk dunia ya soko huria.hulazimishwi kupeleka watoto wako pale.hujashikiwa kisu.mimi nijuavyo ni moja kati ya shule bora hapa nchini.amini usiamini.hayo matatizo mengine yapo kila kona na yanataturika taratibu .
Kweli akili yako inafanana na "user name" yako!
Sikushangai kuona ukitokwa povu labda wewe ni miongoni mwa wale wafanyakazi wake hapo shuleni mnaolipwa sh. 100,000/= kwa mwezi. Hata kama ukikataa, hiyo ndiyo hali halisi ya shule za Mtembei.
Kwa mfano; Ujenzi sec ina wanafunzi zaidi ya 1200 lakini hakuna dispensary, maji ya kunywa yana chumvi, kunguni ndiyo usiseme (magodoro mawili ya wadogo zangu nilichoma moto walipokuja nayo home baada ya kumaliza f4). Kwa upande wa chakula wanafunzi hawapewi mboga za majani wala matunda. Miundombinu bora pale Ujenzi sec ni ipi? Ulishaona madarasa yao? Vyoo vyao je? Mabweni yao vipi? Acha akili zako hizo za ki-troojan la sivyo tutakuwekea anti-virus mkichwa!