Kama ulitoka pale 2006 basi hali uliyo iacha pale siyi hiyo tena,, sasa hivi Mabweni yamegeuzwa kuwa hifadhi ya taifa ya Kunguni ,
Kuhusu mlundikano wa wanafunzi sasa hivi siyo 46 tena na wala siyo mikondo saba tena,,
Hebu chukua watoto 875 alafu gawanya kwa 46 Utapata mikondo mingapi,,
Alafu jiulize je waalimu mfano wa kila somo watakuwa wangapi,, alafu fikiria kila mwalimu atafuatilia maendeleo ya wanafunzi wangapi,,
Pia kumbuka mwalimu huyo huyo atakuwa na kipindi ktk madarasa mengine kama form1,2,3,pengine hata 5na 6.
Hakuna mwenye kumwonea wivu mmiliki wa shule hii bali apunguze tamaa,, zamani ilikuwa shule nzr sn na ilitushawishi kupeleka watt wetu pale. Lakini kwa sasa hata unitishie kunichoma sindano ya sumu sikubali kupeleka mtoto wng au wa ndg yangu hata rafiki yngu pia siwezi kumwacha bila kumshauri apeleke mwanae pale.