Wanafunzi 48,000 wapata mimba (2010) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi 48,000 wapata mimba (2010)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MSEZA MKULU, Jul 16, 2012.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  Kwa mwaka 2010 pekee wanafunzi wa kike 48,000 waliacha masomo baada ya kupata ujauzito.

  mwaka 2009 wanafunzi 11264 walipata ujauzito na mwaka uliofuata 2010 wanafunzi 48,000.

  naomba niulize hivi hili tatizo limepangwa kutatuliwa vipi kwa maana hizi takwimu zimenishangaza.


  source: habarileo 16th july 2012
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  du hiyo inatisha kwa hiyo kuna watoto 48000 kutoa mapacha?
  bado tunaambiwa elimu inapanda?
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "Ni kiherehere chao" JK.
   
Loading...