Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

Habari zenu wanajamii wezangu wa forums. Ninamwanangu amemaliza la Saba lakini nilitegemea kapata wastani wa B. Ana A=3. ana B=2 na C=1. Atapangiwa shule ya kata. Anasoma Dar es salaam. Nia yangu nimuhamishe aende boarding ya serikali. Je kwa wastani huo naweza kufanikiwa kweli kupata shule yakueleweka ambazo tunaita za kitaifa Kama jagwani, korogwe girls n.k. Maana watoto wengi wanapelekwa private na wazazi wao. Nafasi zinakuwa wazi mwanangu anaweza kuingia hapo. Naomba ushauri wenu na muongozo wenu ndugu wapendwa nini nifanye niweze kupata hizo nafasi.
 
Kama yupo dsm asome tu hata hizo za kata

Ila umtafutie na TUITION atatoboa vizuri tu
 
Itafute hiyo shule uone matokeo yake mwaka huu pia ndiyo uje na hizo hadithi za “kuchomekwa”
imetoa mwanafunzi bora kinara kama mwaka 2018?.

mwaka huu imeingiza wanafunzi wangapi katika kumi bora?.
 
Twibhoki tena imekuwaje Kwa matokeo ya form four 2022?!!
 
Attachments

  • Screenshot_20230208-213726.png
    Screenshot_20230208-213726.png
    183 KB · Views: 3
Back
Top Bottom