ZENTEL
Member
- Sep 16, 2011
- 30
- 6
Tamaa ina changia, binti anajikuta anahitaji nguo nzuri, viatu, hand bag na amechishe kuanzia hereni, nguo, viatu, mkoba mpaka nywele, halafu mtu wenyewe masikini wakati kilasiku anahitaji kubadili nguo ili nae aonekane wa kisasa, cha msingi wanaona bora watafute vizee vya TRA, BOT, ili wawa wezeshe alafu jioni wanatoka na vibwana vyao, we unadhani ukimwi utaisha, mchana na kibwana usiku na kizee cha bandari, wanafunzi fateni vilivyo wapeleka vyuono acheni mambo msiyokua na uwezo nayo.