Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Hii ni kweli kabisa lakini hii yote zaidi inachangiwa na ugumu wa maisha unaikabili nchi yetu, na ni tabia ya wanafunzi wa vyuo karibia vyote. Unakuta ana dereva teksi, pedeshee hasa hao wafanyakazi ambaye anamuhudumia kila kitu na mwanafunzi ambaye anakuwa na msaada wa kimasomo. Hii yote inachangiwa zaidi na tamaa pia..