Wanafumzi wa vyuo na mapedeshhee

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
Tamaa ina changia, binti anajikuta anahitaji nguo nzuri, viatu, hand bag na amechishe kuanzia hereni, nguo, viatu, mkoba mpaka nywele, halafu mtu wenyewe masikini wakati kilasiku anahitaji kubadili nguo ili nae aonekane wa kisasa, cha msingi wanaona bora watafute vizee vya TRA, BOT, ili wawa wezeshe alafu jioni wanatoka na vibwana vyao, we unadhani ukimwi utaisha, mchana na kibwana usiku na kizee cha bandari, wanafunzi fateni vilivyo wapeleka vyuono acheni mambo msiyokua na uwezo nayo.
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408
Umelifanyia utafiti suala hili?? Ni kwa vyuo vya Tz nzima au mkoa mmoja? Na ni wanafunzi wote au baadhi tu,?
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
45,193
95,667
wakienda kwa malofa,mwanaume gani atatafuta pesa???????

au hujui NO FINANCE,NO ROMANCE...??????/
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
umelifanyia utafiti suala hili?? Ni kwa vyuo vya tz nzima au mkoa mmoja? Na ni wanafunzi wote au baadhi tu,?
asilimia kubwa ya wanafunzi wa colleges na vyuo vikuu sio wote ila wengi sijajua huko mikoa but hapa dar nawaona na ndomana nikatoa mifano ya huku, pia nnaishi nao hapa nnapoishi kuha hostel nyingi sana za vyuo tofauti tofauti
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
TAMAA MBAYA POCKET MONEY SIAMINI KAMA HANA ILA SEMA Eentertainment ZINA WAPONZA, CLUBIN, SWIMMING, MOVIEZ, SHOPPING, ambavyo silazima kama huna pesa ila kila mtu anataka awe juu ndo tatizo....................kunasiku nilienda IFM ghafla nikajihisi nipo MAISHA CLUB WATOTO WALIVYO JIPARA............
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
wenye tabia hizi huwaga hawajuti, wanapenda maisha mazuri hata kama mafupi kuliko kuwa na maisha mabovu marefu
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,161
715
LoL Hata ukienda Nairobi mwaka juzi walaikamatwa wazururaji usiku na polisi yaani hutaamini 40% ya hawa walikuwa ni College Girl Students!

This is not news any longer! Maisha! Na ujasiriamali! Sasa wafanyeje?
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
UKWELI UTAJULIKANA TU KUMBE HATA SAUT PIA? DUH.......hawa wa wazee wenye pesa wanafanya sisi vujana tuone kane vikatuni kwa madem zetu.......
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
ujasiri yamali gani wakuuza mwili? kuna biahsara kibao za kina dada tena wanafanya wanafunzi wengi wa vyuo.................wanauziana urembo, nguo.................mpaka uuze mwili au mwili bei yake kubwa halafu haina mtaji?
 

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,157
wewe unafanya kazi wapi?au uko zantel?unaonekana una hamu nao na wewe lakini kutokana na unapofanyia kazi unashindwa kuwapata
 

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
hili hata wakaka linawahusu coz tunawaona wengi tu wanahongwa hongwa pesa na wamama/wadada wenye ankala zao wanawasahau hata magal friends wao walowaacha huko kwao! Lol!

hatuja kataa ila katika wanaume 50 utapata 3 au 2 wanao lelewa na wamama ila wanawake 50 pengine wote au watano to utakuta wako poa wengine wote..................
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom