ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,771
- 5,841
Duh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
Fanya yako ndugu achana na maisha ya watu.Huo ni wivuDuh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
never winHater........
Mkuu kulikuwa kuna ulazima gan wa kutoa povu jingi kias hiki au wivu unakusumbua au ndo majipu wanaoyasemaga siku nyingne kuwa mstaarabu tu utaeleweka tu najua inakuuma coz kuva white kot is easy thing rizka na ulichosomea mkuuDuh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo.
Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo linakera cc raia. Pia nasi tulisomaga, msitutishe.
Unakuta mtu yupo nje ya chuo anatembea barabarani muda wote kavaa kitambulisho, hata sehemu c husika. Upo uraiani likitambulisho lako la chuo nani anataka kuliona.
Hawa wa kcmc cjui Wanaosomea kufunga vidonda cjui ndo madokta. Utakuta wapo mtaani wanazurula na makoti yao ya udokta, huo ni ushamba, cjui mnamringishia nani. Makoti yenu na ID mvae mkiwa huko vyuoni ndani kwenu. Mnaboa sana,
Ndo mana Ney wa mitego amewachana live
Utamuua amua mleta uzi ww nahis aliko ana whitecoathypertensionTatizo hilo ni sugu lipo hata kwa hawa watoto wa bugando, wanaboa
We chizi kweli mtu anakopeshwa na serikali tena ki elfu kumi kwa siku anitishie mtu napokea salary 3mil take hme, we unaumwa ngiri au tezi msogaHahahaha mkuu wamekunyang'anya demu wako nini?
Mkuu kuwa na mboo kubwa sio kujua kutombaWe chizi kweli mtu anakopeshwa na serikali tena ki elfu kumi kwa siku anitishie mtu napokea salary 3mil take hme, we unaumwa ngiri au tezi msoga