wanachit chat ni mafreemason!!

wanachit chat ni mafreemason!!

figganigga miss you mzima?
Kuna ile party ya watu wa dar utakuwepo?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa kifreemason, mijadala yao imekaa kifreemason. hata wewe unayesoma hapa ni freemason. Siku nikipewa umoderator kuna watu sita na moderator mmoja watapakimbia na kwenda kujiunga na mitandao pendwa ya udaku tanzania.look very.mia
Tena wewe ndio gwiji wa u-freemason. mia.
 
haya tushapata watu wawili wa kafara..... yan Erickb52 na figganigga nasi twataka mmoja.... chagueni kati ya hawa nani aanziwe?????
 
Last edited by a moderator:
figganigga miss you mzima?
Kuna ile party ya watu wa dar utakuwepo?

mi mzima. hivi si ninaskia wataenda tanga?. kama ni dar ntakuwepo kama tanga siendi sababu naogopa kulala peke angu. je upo tayari twende wote au nawe ni freemason?. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom