Wewe viganja vyako si vimechora M itakuwa vizuri ukitolewa kafara
haya tushapata watu wawili wa kafara..... yan Erickb52 na figganigga nasi twataka mmoja.... chagueni kati ya hawa nani aanziwe?????
wewe ndo mshika kibendera wa mafreemason. tutawajua tu. mia
Mungu akusamehe na akuondolee pepo lako la tabia mbaya?Sasa anahitajika mtu wa kuwa kafara ya chitchat fteemasons....
1. Erickb52
2. sweetlady
3. Asprin
5. snowhite
6. Nicas Mtei
7, watu8
8. figganigga
WA KWANZA AJITAJE FASTAAAAAAA
Mwalimu, mwalimu, mwalimu..................! Nikikukamataaaaaa!!
bange zikizidi bana!:glasses-nerdy:
hivi jengo letu la kuswalia liko wapi vile?? nataka midollar nikapaue nyumba yangu mie!
morning hubby, morning chit chatters!, morning ma-free masons!Mungu akusamehe na akuondolee pepo lako la tabia mbaya?
Babu aweza wekwa kundi moja na vijana wanakaribia kubalehe?
Ntake radhi!
Mkuu una agenda gani na ndoa yangu na Lily Flower? I wish atakuwa amevaa mawani meusi hataweza kuona hii
Kwe kwe kwe! Ushapata mtu wa kukubuku safari ya tanga Lily Flower ?Kifo tu ndio kitatutenganisha sio the so called binadamu tena wa JF, CC, mafreemason no way.