Kwe kwe kwe! Ushapata mtu wa kukubuku safari ya tanga Lily Flower ?
Utajiju! Unavyonitumia PM kuwa huna mpango na Lily Flower unadhani sifa? Au nizimwage hapa uumbuke?Heeeeeeeeeeeeeeeee shindwa! mi siko na wewe
Mimi ninao kama 99, labda awe wa 100.
Na ukome kumdanganya spea tairi wako nitonye. mie ni mwaminifu kwenye ndoa yangu, tena my Lily Flower asijesikia kabisa
morning hubby, morning chit chatters!, morning ma-free masons!