figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,181
- Thread starter
- #21
Sijakutenga kabisa. Bado sijarudi. Nkirudi nitakucheki
poa ukirudi tutafutane. jiepushe na mafreemason wa jf. watakupotezea mda. mia
Sijakutenga kabisa. Bado sijarudi. Nkirudi nitakucheki
Kumbe hata nyie ma freemasons mna madhehebu,na wengine ni walokole wa ki freemasons?
Sikujua!!!
Kivipi freemason so kila anayepost ni freemason!
we figganigga nahisi kama unanisema wewe........
ushindwe kwa jina la yesu utetemeke uanguke chini. mia
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa kifreemason, mijadala yao imekaa kifreemason. hata wewe unayesoma hapa ni freemason. Siku nikipewa umoderator kuna watu sita na moderator mmoja watapakimbia na kwenda kujiunga na mitandao pendwa ya udaku tanzania.look very.mia
sweetlady ushindwe na ulegee
Mambo honey !
una akili sana.na mleta mada ni fremanson