wanachit chat ni mafreemason!!

wanachit chat ni mafreemason!!

Karibu chitchat freemason


Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa kifreemason, mijadala yao imekaa kifreemason. hata wewe unayesoma hapa ni freemason. Siku nikipewa umoderator kuna watu sita na moderator mmoja watapakimbia na kwenda kujiunga na mitandao pendwa ya udaku tanzania.look very.mia
 
Back
Top Bottom