ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 998
- 363
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.