Wanachama wa CHADEMA udom wamerudisha kadi cha chama

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
998
363
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.
 
Kwa hiyo tufanyeje, ukiona mwanachama anarudisha kadi kwa kitu kidogo tu! Ujue alikuwa ndumilakuwili...
Waache waende tu!
 
Ungetulia na kuandika habari yako kwa ufasaha, ingedhihirisha unguli wako,kama msomi wa taasisi ya juu kabisa ya Elimu.
 
We are tired of hearing ngonjera zenu...masikio hayataki kusikia tena! Kwa hiyo kama wanarudisha kadi, tukusaidieje? Si kwamba wana-exercise their freedom to join with association or party they deem fit!? Mbona hii imekuwa guaranteed kabisa kwenye katiba! Sasa kipya hapo ni kipi au udaku udaku wa kipuuzi?
 
We TARIMO wa ROMBO wachagga wote tumeambiwa wapo CDM, sasa wewe huko CCM unafanya nini?
 
Poleni sana kwa mahangaiko ya mwili na roho.... Mtatunga nyimbo nyingi zisizo na mashiko. Buku saba ndio inakutoa povu kiasi hicho.
 
kama hao ndo wasomi basi ni janga la kitaifa,kama kweli wameshindwa kumwajibisha huyo kiongozi wao kwa utaratibu uliyowekwa na kurusha kadi.
 
Hayo yote mnayoandika hayana mashiko, hiyokambi ya zito imesha sambarati kama mtu alikuwa nyuma ya zitoccm na aende hakuna mtu alie wika kama dr kaburu yuko wapi aliondoka kwa vishindo akaenda aendako, waliomtuma walimtumia kama kondom leo hii ndio yatakayo mkuta zitoccm mwisho wake wasiasa umefika.
 
hii ni kutokana na mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? Ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka education,humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za c c m.

kwa mtu mwenyeakiri timamu kuachia kadi ya chadema na kuchukua ya ccm ni ujinga na ndo maana hata zito amesema yeye bado nimwanachadema
 
wanarudi nyumbani kwao, wape pole na kila la kheri. wanafiki......

Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.
 
Waliorudisha kadi wote hawana akili na kama ni wanafunzi wa chuo nina wasiwasi na udahili wa chuo hicho. hiyo siyo suluhu ya uhalifu. walale mbele katika chadema tunataka greater thinkers
 
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.

Hawa nao utafikiri hawajaenda shule, ni chama kimekula pesa au ni mtu mmoja! Kwa nini wasi-deal nae tu, kuhama chama ndiyo pesa zitarudi? Au ni mojawapo wa ule mtandao wanatafuta sababu wajiondoe wasije gundulika?
 
UDOM ndio shule gani hiyo tena make kuna chuo na taasisi UDOM ni taasisi ya ccm so sishangai chochote hapo.
 
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.

nyie Udom acheni hizo,mnakuwa kama sio wasomi,eti mwasubiria kadi za ccm ili nini?usiwe ndumilakuwili kwa jambo lisilo na manufaa,aya rudini huko mnakoona kuna demokrasia ya kweli.mkishindwa huko pia muende tlp.mtu makini hawezi yumbishwa hakika.:A S 103:
 
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu

Je, CCM ni chama cha kiislamu?
 
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.
Hiki Chama niMzoga unaotembea
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom