Wanachama wa CHADEMA udom wamerudisha kadi cha chama

Hayo yote mnayoandika hayana mashiko, hiyokambi ya zito imesha sambarati kama mtu alikuwa nyuma ya zitoccm na aende hakuna mtu alie wika kama dr kaburu yuko wapi aliondoka kwa vishindo akaenda aendako, waliomtuma walimtumia kama kondom leo hii ndio yatakayo mkuta zitoccm mwisho wake wasiasa umefika.

Kama wafuasi wa cdm mnavotumiwa na chair wenu+katibu
 
Hawa nao utafikiri hawajaenda shule, ni chama kimekula pesa au ni mtu mmoja! Kwa nini wasi-deal nae tu, kuhama chama ndiyo pesa zitarudi? Au ni mojawapo wa ule mtandao wanatafuta sababu wajiondoe wasije gundulika?

Hizo ndio akili za wafuasi na wanachama wa cdm.... Hata wewe utakuwa hivohivo
 
nyie Udom acheni hizo,mnakuwa kama sio wasomi,eti mwasubiria kadi za ccm ili nini?usiwe ndumilakuwili kwa jambo lisilo na manufaa,aya rudini huko mnakoona kuna demokrasia ya kweli.mkishindwa huko pia muende tlp.mtu makini hawezi yumbishwa hakika.:A S 103:

Unalia nn sasa umeambiwa cdm ni mama?
 
hii ni kutokana na mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? Ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka education,humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za c c m.

kura na kujikopesha pesa za chama ni sera ya chadema. Kwa hiyo hilo si kosa.
 
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu

Je, CCM ni chama cha kiislamu?

Mizengo Pinda-muislam, Emanuel Nchimbi-muislam, Amos Makala-muislam, Deo Filikunjombe-muislam, Mary Nagu-muislam, Edward Lowasa-muislam, Harison Mwakyembe-muislam, Samuel Sita-muislam, n.k et eeh
 
Kama chadema walikuwa na wafuasi wengi kiasi tunavyoshuhudia maandiko ya kurudisha kadi. Basi ccm hawakuwa na wafuasi kabisa. Labda mbwa na pimbi ndio walikuwa wafuasi wao.

Kila siku wanasema wanepokea wafuasi wa chadema. Sasa wao hawakuwa na wafuasi au tuseme nchi hii inaweza ikawa na watu wazima zaidi ya 36,000.
 
Ungetulia na kuandika habari yako kwa ufasaha, ingedhihirisha unguli wako,kama msomi wa taasisi ya juu kabisa ya Elimu.
ukiona mwana Jf anaandika kwa maelezo yake humu kwa kutumia " inge, unge na unga" hujue mtu huyu kwa kifupi ata akili yake ni fupi sana na upeo wake wa uwelewa ni mdogo sana. unatakiwa uludi Fb kwanza. hutufai hum. unakuwa kama Lema, Sugu or Mbowe.
 
Hizo ndio akili za wafuasi na wanachama wa cdm.... Hata wewe utakuwa hivohivo

Hahahahaaaa! Kwanza UDOM ni ccm, Chadema wa hapo ni mamluki tu ndiyo maana wanarudisha kadi, tumewagundua, hao wote mtandao wa zzk.
 
Kuna Thread ilisema " A ya UDOM ni sawa na GENTLEMAN ya SUA"
sasa nimeanza kuamini.
 
Wasomi hawawezi kurudisha kadi kwa kiongozi kula pesa hii haingii akilini hata kidogo. Sababu ni Zitto Kabwe bwana mbona mnapindisha ukweli?
 
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.

Huyo mwenyekiti ameuigiliza babu yake,tatizo halipo tena ukizikamata zingine kula baba,wakikuuliza maswali watimue kwenye chama maana hawajui misingi na kanuni za chama kua hawatakiwi kujua matumiz na mapato
 
Hii ni kutokana na Mwenyekiti wa chadema udom kula pesa ya chama na kijifanya yeye ni mungu mtu ndani ya chama,baada ya kufanya maojiano nae amekiri kutumia pesa hizo na kudai kwamba pesa hizo zimefanya shughuri za chama,baadhi ya wanachadema wametaka kujua pesa hizo zimefanyia nini? ila walipewa vitisho na wengine kutishiwa uhai wao, hii ni kutoka kwamba ndani ya chadema hakuna democrasia kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya matawi,mpaka sasa zaidi ya wanachama 150 kutoka Education,Humanities,wapo hapa social science wakisubiri kadi za C C M.

Wote hao walikuwa CCM tangu mwanzo. Ukisikia mamluki ndio hao. Kwani walikuwa wafuasi wa huyo mtu? Halafu wanajiita wasomi. Kweli wasomi wa siku hizi ni hasara.
 
Wasomi hawawezi kurudisha kadi kwa kiongozi kula pesa hii haingii akilini hata kidogo. Sababu ni Zitto Kabwe bwana mbona mnapindisha ukweli?

Wasomi wa kweli hawawezi kurudisha kadi kwa sababu ya Zitto Kabwe ambaye alimsingizia wziri mkuu. Hawa ni mamluki tena wasio nabiwezo wa kutumia akili zao. Kwani ZITTO ni nani zaidi ya mwana CCM mwenzao tena mtiifu kwa chama chake hicho?
 
Back
Top Bottom