Wanachama wa CHADEMA udom wamerudisha kadi cha chama

Kwa hiyo na huko CCM wanakoenda wakikuta mwenyekiti anakula hela nako watahama?
 
Kwa hiyo na huko CCM wanakoenda wakikuta mwenyekiti anakula hela nako watahama?
Navyojua mimi wanachuo walivyo ving'ang'anizi hawawezi kuhama sababu ya kiongozi kula fedha. Huu ni mwendelezo tu vurugu zinazoendelea Chadema.

Back
Top Bottom